zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Acha kujitoa ufahamu, aliyewashtaki ni DPP ambaye ni serikali na anaruhusiwa kuondoa mashtaka yake hata kama yapo mahakamani tayari. Katiba yetu haijaipa mahakama uhuru kiasi kwamba shauri likifika huko haliwezi tolewa.Kuwa magerezani kwa wafuasi wa CDM ni suala la kisheria...Mahakama na sheria za nchi pekee ndizo zina haki ya kuamua hatma
CHADEMA waliomba kwa barua rasmi kuonana na Rais wakakubaliwa ila Rais hakukutana nao mpaka leo!!Kukaa chini kungeweza pia kutoa picha na mwanga wa baadhi ya mambo ambayo yangesaidia hizi kezi zisiwepo na hata walio mahabusu kesi zao zisomwe haraka haki itendeke
Sasa hamuonani na Rais alafu mwende kujadiliana na msajili wa vyama suala la tume huru? Au Mbowe kuachiwa? Unadhani msajili ana nguvu kisheria kuenforce mabadiliko wanayotaka CHADEMA?
Walitaka closed door meeting ili kuwe na mwanzo mzuri sasa Rais anakataa alafu anawaita waje kusikiliza hotuba na kupiga picha then anaondoka? Sasa ndio kina impact gani kikao?