NCCR-mageuzi wafunika kwa WARIOBA(tume ya katiba)

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,380
Leo NCCR-mageuzi tulipeleka rasimu ya Katiba kwa Tume ya mabadiliko ya katiba saa 7 mchana, msafara uliongozwa na mwenyekiti wa chama na mimi kama mjumbe nikiwa ndani ya msafara. Huku wanafata utaratibu wa wote kushiriki mambo si walewale kila siku.
 
Aisee kila la kheri but ni vyema ukamuuluza vyema Kafulila kuhusu NCCR
 
Kama mtu Kilaza kama wewe Mbatia anakushirikisha kwenye swala sensitive kama la katiba basi NCCR imeoza. Chadema hakuna mbulula kama wewe wa kushirikishwa kwenye jambo sensitive kama hili.

Ona timu ya Chadema ikielekea kutoa maoni yao ya katiba.

299559_406194889455306_356635488_n.jpg
 
Leo NCCR-mageuzi tulipeleka rasimu ya Katiba kwa Tume ya mabadiliko ya katiba saa 7 mchana, msafara uliongozwa na mwenyekiti wa chama na mimi kama mjumbe nikiwa ndani ya msafara. Huku wanafata utaratibu wa wote kushiriki mambo si walewale kila siku.

Wewe kweli mtu wa ajabu.Wewe si ndiyo ulikuwa unalalamika kwamba wageni wanaojiunga Chadema wanapewa kipaumbele?

Wewe una siku 2 tangu ujiunge na NCCR halafu umeteuliwa kuwakilisha chama wakati wapo wakongwe kibao ndani ya chama.Halafu bila aibu unakuja hapa kujisifu.

Leo nimeamini mnafiki njia yake ni fupi sana.Yaani umejiumbua hata kabla wino uliotumia kuandika maandishi yako haujakauka.
 
Kisandu komaa labda utafanikiwa ukiwa huko maana huko ni kutafuta ulaji binafsi chini ya mwavuli wa magamba.ila tumeshukuru umetupunguzia mzigo.wengine tulishachoka na masalia
 
Leo NCCR-mageuzi tulipeleka rasimu ya Katiba kwa Tume ya mabadiliko ya katiba saa 7 mchana, msafara uliongozwa na mwenyekiti wa chama na mimi kama mjumbe nikiwa ndani ya msafara. Huku wanafata utaratibu wa wote kushiriki mambo si walewale kila siku.
Badala ya kutueleza kwa kifupi kilichopo ndani ya hiyo rasimu unatuambia msafara? Mmhhhhh!!!!! Ndio maana ulifukuzwa chadema wewe una hoja za kitoto na Dhaifu
 
Kama mtu Kilaza kama wewe Mbatia anakushirikisha kwenye swala sensitive kama la katiba basi NCCR imeoza. Chadema hakuna mbulula kama wewe wa kushirikishwa kwenye jambo sensitive kama hili.

Ona timu ya Chadema ikielekea kutoa maoni yao ya katiba.

299559_406194889455306_356635488_n.jpg
Nikitaka kushangaa Zitto akose,Ben Saanane upo hapo?ZITTO na CHADEMA ni kama kobe na gamba lake.
 
Leo NCCR-mageuzi tulipeleka rasimu ya Katiba kwa Tume ya mabadiliko ya katiba saa 7 mchana, msafara uliongozwa na mwenyekiti wa chama na mimi kama mjumbe nikiwa ndani ya msafara. Huku wanafata utaratibu wa wote kushiriki mambo si walewale kila siku.

Naona wewe ndo umekabidhiwa jukumu la kudili na mitandao, kuna mdao kasema Muulize Kafulila akupe info kuhusu Mbatia
 
Leo NCCR-mageuzi tulipeleka rasimu ya Katiba kwa Tume ya mabadiliko ya katiba saa 7 mchana, msafara uliongozwa na mwenyekiti wa chama na mimi kama mjumbe nikiwa ndani ya msafara. Huku wanafata utaratibu wa wote kushiriki mambo si walewale kila siku.

just move on Deo, nothing you can do to change the past, remmember you got to shape your future man...all the best

btw, siku hizi wanasiasa ndio wameachiwa wahame hame, maana miaka michache iliyopita sisi mashabiki wa bendi ya twanga pepeta tulikuwa tunakwazwa na kuhama hama kwa wasanii wetu nguli...hivyo kuhama ni maisha tu
 
Kumbe ulianza kazi huko siku mingi ee. Maana kwa siku mbili huwezi jua yote yaliyomo kwenye hiyo rasimu, unless iwe umechomoka nayo CDM.
 
Unalia nini wewe? Bora umejitoa mwenyewe!
Hongera Deogratius Kisandu!
Wanachama wa chauma wengi wana kimbilia nccr hili wakitoka huko wanakwenda chauma!
Vipi na wewe una card ngapi?

Kila la kheri Deogratius Kisandu

Leo NCCR-mageuzi tulipeleka rasimu ya Katiba kwa Tume ya mabadiliko ya katiba saa 7 mchana, msafara uliongozwa na mwenyekiti wa chama na mimi kama mjumbe nikiwa ndani ya msafara. Huku wanafata utaratibu wa wote kushiriki mambo si walewale kila siku.
 
Last edited by a moderator:
Nikitaka kushangaa Zitto akose,Ben Saanane upo hapo?ZITTO na CHADEMA ni kama kobe na gamba lake.
Zitto yupo na ataendelea kuwepo na hafukuzwi na yeye ndio ndoano ya Chadema kuwakamata vijana wote wenye tamaa za mafanikio ya haraka haraka na yeye atabaki kuwa salama. yeye ni special Agent wa Chadema kuwaprehand wahalifu wote bila kujijuwa.

Kama unalingine sema hapa umekwama na Ben Saanane ni next level alingani kwa lolote na mtu kama wewe. siyo tu kwamba Zitto na Chadema ni kama kobe na gamba lake bali kama CCM na Ufisadi ni dam dam.
 
Kama mtu Kilaza kama wewe Mbatia anakushirikisha kwenye swala sensitive kama la katiba basi NCCR imeoza. Chadema hakuna mbulula kama wewe wa kushirikishwa kwenye jambo sensitive kama hili.

Ona timu ya Chadema ikielekea kutoa maoni yao ya katiba.

299559_406194889455306_356635488_n.jpg

Vipi Dr. Slaa yeye alikosa namba?
 
Zitto yupo na ataendelea kuwepo na hafukuzwi na yeye ndio ndoano ya Chadema kuwakamata vijana wote wenye tamaa za mafanikio ya haraka haraka na yeye atabaki kuwa salama. yeye ni special Agent wa Chadema kuwaprehand wahalifu wote bila kujijuwa.

Kama unalingine sema hapa umekwama na Ben Saanane ni next level alingani kwa lolote na mtu kama wewe. siyo tu kwamba Zitto na Chadema ni kama kobe na gamba lake bali kama CCM na Ufisadi ni dam dam.
Lengine ninalo,sasa jazba ya nini?
 
Duuuh bora ulijitoa kumbe huna chochote(empty) sasa mmefunika vipi? Yani umeshindwa hata kuonesha jinsi mlivyo funika zaidi ya kueleza ulikuwepo kwenye msafara! Kweli ulikuwa mzigo usio bebeka!

Nilidhani utatuonesha na kufafanua jinsi mlivyo jenga hoja kumbe sivyo, hata nccr watakuchoka na utakimbilia chauma!

Back
Top Bottom