NCCR-mageuzi wafunika kwa WARIOBA(tume ya katiba)

NCCR-mageuzi wafunika kwa WARIOBA(tume ya katiba)

Kama ulikuwa humju makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, ni huyu hapa.

Dk-shein-akihutubia-Kibandamaiti3.jpg
Namtamua DR,Rais wa Zanzibar msomi mkubwa na kiongozi mwenye hekima.Nina uhakika unatambua majukumu ya kiongozi wa nchi.Haya sasa turudi upande wa pili wa shilingi.
 
Ndio ujuwe kwamba Chadema vimesheheni vichwa, kwanza Tundu Lisu peke yake alikuwa anatosha kabisa ndio maana unaona Dr Slaa ameamuwa afanye majukumu mengine.

mbona dr. wa ukweli yupo kwenye huu msafara angalia nyuma ya tundu lissu.
 
Leo NCCR-mageuzi tulipeleka rasimu ya Katiba kwa Tume ya mabadiliko ya katiba saa 7 mchana, msafara uliongozwa na mwenyekiti wa chama na mimi kama mjumbe nikiwa ndani ya msafara. Huku wanafata utaratibu wa wote kushiriki mambo si walewale kila siku.

utakufa na kijiba cha moyo!mmefunika kwa lipi!tumia elimu yako vizuri mkuu!umekimbia kazi ulosomea unadhani siasa ndo utaiweza!
 
Kama mtu Kilaza kama wewe Mbatia anakushirikisha kwenye swala sensitive kama la katiba basi NCCR imeoza. Chadema hakuna mbulula kama wewe wa kushirikishwa kwenye jambo sensitive kama hili.

Ona timu ya Chadema ikielekea kutoa maoni yao ya katiba.

299559_406194889455306_356635488_n.jpg

@Deogratius Kisandu, mtu yeyote atakayeachana na watu hawa (save for few with double minds), kwa sababu zozote zile atakuwa ana walakini. Hivi ni vichwa. Sasa wewe unavyowakimbia hawa sijajua uko wapi. Whatever the case, Mungu akutangulie huko uendeko, perhaps ndio njia yako ya kutokea. Sasa kama bado NCCR ni chama cha upinzani na bado unawaponda upinzani waliokuwa wanakulea mpaka juzi, tunakuwa na mashaka na upinzani wako!
 
Kama mtu Kilaza kama wewe Mbatia anakushirikisha kwenye swala sensitive kama la katiba basi NCCR imeoza. Chadema hakuna mbulula kama wewe wa kushirikishwa kwenye jambo sensitive kama hili.

Ona timu ya Chadema ikielekea kutoa maoni yao ya katiba.

299559_406194889455306_356635488_n.jpg
Timu imekamilika. CDM kuwa na umoja ni moja ya mambo usiyoyapenda ndg Kisandu.Najiuliza, hivi wale wa kaskazini ambao huwapendi. Hawakuwepo ktk msafara wa NCCR....?????????????Ama ndio unapanga mbinu nyingine ya kuwachafua.
 
FIFPRO XI: Iker Casillas (Real Madrid and Spain); Dani Alves (Barcelona and Brazil), Gerard Pique (Barcelona and Spain), Sergio Ramos (Real Madrid and Spain), Marcelo (Real Madrid and Brazil); Xabi Alonso (Real Madrid and Spain), Xavi Hernandez (Barcelona and Spain), Andres Iniesta (Barcelona and Spain); Lionel Messi (Barcelona and Argentina), Radamel Falcao (Atletico Madrid and Colombia), Cristiano Ronaldo (Real Madrid and Portugal).
 
Huyu kisandu ni bongo lala.nilimshangaa siku moja eti kwenye maafari ya chuo akina makamba hawakuja kum-join kwenye sherehe. Umeenda nccr huna ata wik unajifanya matawi, je wewe ni bora zaid ya kafurila, moses machali? Marofa uongoza kwa kulalamika na mwishowe utumiwa. Angalia kisandu usitumike
 
Kama mtu Kilaza kama wewe Mbatia anakushirikisha kwenye swala sensitive kama la katiba basi NCCR imeoza. Chadema hakuna mbulula kama wewe wa kushirikishwa kwenye jambo sensitive kama hili.

Ona timu ya Chadema ikielekea kutoa maoni yao ya katiba.

299559_406194889455306_356635488_n.jpg

Hii timu ukiweka ugoko wanaweka jiwe
 
Kama mtu Kilaza kama
wewe Mbatia anakushirikisha kwenye swala sensitive kama la katiba basi
NCCR imeoza. Chadema hakuna mbulula kama wewe wa kushirikishwa kwenye
jambo sensitive kama hili.

Ona timu ya Chadema ikielekea kutoa maoni yao ya katiba.

299559_406194889455306_356635488_n.jpg

mbona PADRI SLAA SIMUONI....au macho yangu hayaoni vizuri
 
Wewe kweli mtu wa ajabu.Wewe si ndiyo ulikuwa unalalamika kwamba wageni wanaojiunga Chadema wanapewa kipaumbele?

Wewe una siku 2 tangu ujiunge na NCCR halafu umeteuliwa kuwakilisha chama wakati wapo wakongwe kibao ndani ya chama.Halafu bila aibu unakuja hapa kujisifu.

Leo nimeamini mnafiki njia yake ni fupi sana.Yaani umejiumbua hata kabla wino uliotumia kuandika maandishi yako haujakauka.

Tehe tehe tehe. Akirudi hapa tena kwa comment yako hii jamaa hana mishipa ya haya wala kujifunza. Wacha umma ujionee. Yako mambo yangesemwa, watu wangesema aaah kwa sababu kaondoka.

Siku nyingine usipende kuweka kisu chako kwenye mfupa wa mwenzio namna hiyo. Vibaya. Tehe tehe tehe.
 
Hii ni ishara ya kuugua!

FIFPRO XI: Iker Casillas (Real Madrid and Spain); Dani Alves (Barcelona and Brazil), Gerard Pique (Barcelona and Spain), Sergio Ramos (Real Madrid and Spain), Marcelo (Real Madrid and Brazil); Xabi Alonso (Real Madrid and Spain), Xavi Hernandez (Barcelona and Spain), Andres Iniesta (Barcelona and Spain); Lionel Messi (Barcelona and Argentina), Radamel Falcao (Atletico Madrid and Colombia), Cristiano Ronaldo (Real Madrid and Portugal).
 
Kuna vyama vimejikita katika kuongelea jambo moja tu, la muungano na kuna vyama ambavyo maoni yao yalichambua kwa undani masuala ya uchumi, haki za binadamu, maadili, na mengine yanayogusa maisha ya siku kwa siku ya watu
 
[h=2]Monday, 7 January 2013[/h][h=3]NCCR- MAGEUZI WAWASILISHA MAONI YA KATIBA MPYA[/h]

Na Florian Rutayuga Mbeo

Chama cha NCCR-Mageuzi kikiongozwa na Mwenyekiti wake wa Taifa Ndugu James Francis Mbatia (Mb), kimewasilisha maoni yake juu ya Katiba Mpya tarajiwa, leo tarehe 7-1-2013, kuanzia saa 7:00 mch. hadi saa 8:14 mch.; mbele ya jopo la wajumbe wa Tume hiyo ikiwa wakiongozwa Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji mstaafu, Ndugu Joseph Sinde Warioba na Naibu Katibu wa Tume hiyo.
Katika kuwasilisha, hoja za NCCR, Ndugu Mbatia na ujumbe wake wameeleza masuala ya msingi kwamba hayana budi kuzingatiwa/kuwemo katika katiba mpya ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
masuala hayo ni pamoja na:

  • Ukuu wa Katiba
  • Uraia na utaifa
  • Lugha ya Taifa
  • Mji mkuu
  • Muundo wa serikali
  • Muafaka wa kitaifa
  • Uhuru na haki za binadamu
  • Uhuru wa vyombo vya habari
  • Uhusiano wa kimataifa
  • Wajibu wa mwananchi kwa taifa lake
  • Haki ya kuchagua na kuchaguliwa
  • Haki ya vyama vya siasa
  • Sera elekezi, katika maadili na misingi ya taifa
  • Tume huru ya uchaguzi
  • Kushitakiwa na kutoshitakiwa kwa Rais
  • Muda wa kushika nafasi ya urais
  • Masharti ya ofisi ya Rais
  • Mshahara na marupurupu ya Rais
  • Kumuondoa Rais madarakani (Sababu za kumuondoa rais madarakani, Namna ya kumuondoa Rais madarakani)
  • Kura ya kutokuwa na imani na kiongozi
  • Wananchi kumwondoa mbunge/diwani katika uongozi
  • Maadili na miiko ya uongozi
  • Mamlaka ya Rais ya kuteua
  • Muundo wa utwala
  • Baraza la mawaziri
  • Rasilimali za taifa
  • Madai dhidi ya serikali
  • Mahakama maalum ya katiba
  • Baraza la vijana
  • Baraza la wazee
  • Madaraka ya umma ( Decentralization of power)
  • Ardhi
  • Marekebisho ya katiba
  • Mapendekezo kuhusu mambo ya shirikisho.
  • n.k.
Hizo ndio ajenda muhimu zilizowasilishwa na Chama cha NCCR-Mageuzi. Aidha, Mbatia pamoja na wanamageuzi alioambatana nao walifafanua hoja hizo kwa urefu na mapana na kueleza misingi (justification) ya kwa nini Chama cha NCCR kimeanisha hoja hizo hapo juu.

Itakumbukwa kwamba chama hiki chimbuko lake (mwaka 1991) ni madai ya katiba mpya. Hoja zilizowasilishwa zilikuwa katika fikira za wanamageuzi tangia enzi hizo. Hivyo tarehe hii inaingia katika kumbukumbu za chama kama fursa nyingine ya kuhakikisha lengo hili la msingi la chama, lenye maslahi kwa nchi hatimaye linafikiwa.

at 08:46 No comments: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook

[TD="class: reactions-label-cell, width: 1%"]Reactions: [/TD]

[h=3]CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI CHATOA MAONI YA KATIBA MPYA MBELE YA TUME[/h]

Mwenyekiti wa Tume ya mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba akiongea katika mkutano na uongozi wa NCCR-Mageuzi uliofika ofisi za Tume kuwasilisha maoni ya chama hicho kuhusu Katiba Mpya leo (Jumatatu, Jan 7, 2013) jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu wa Tume Ndg. Assaa Rashid na kushoto ni Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi James Mbatia.

Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Ndg. James Mbatia akiongea katika mkutano na Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakati chama chake kilipokwenda katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo (Jumatatu, Jan 7, 2013) kuwasilisha maoni ya chama hicho kuhusu Katiba Mpya. Kulia ni Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Joseph Warioba na katikati ni Katibu wa Tume Ndg. Assaa Rashid.

Baadhi ya viongozi wa NCCR-Mageuzi wakifuatilia
 
Ndio ujuwe kwamba
Chadema vimesheheni vichwa, kwanza Tundu Lisu peke yake alikuwa anatosha
kabisa ndio maana unaona Dr Slaa ameamuwa afanye majukumu
mengine.

ah kuna wakati babu anatakiwa kupumzika jamani, na kulea mjukuu ake...
 
Tehe tehe tehe.
Akirudi hapa tena kwa comment yako hii jamaa hana mishipa ya haya wala
kujifunza. Wacha umma ujionee. Yako mambo yangesemwa, watu wangesema
aaah kwa sababu kaondoka.

Siku nyingine usipende kuweka kisu chako kwenye mfupa wa mwenzio namna
hiyo. Vibaya. Tehe tehe tehe.

we jamaa kuna hoja zingine unazikaukia ila hizi za kishabiki unapatikana kirahisi, watu wanataka kujua mliemtuhumu kuwa kinara na mfadhili wa PM7 mbona hajachukuliwa hatua?
 
Tehe tehe tehe. Akirudi hapa tena kwa comment yako hii jamaa hana mishipa ya haya wala kujifunza. Wacha umma ujionee. Yako mambo yangesemwa, watu wangesema aaah kwa sababu kaondoka.

Siku nyingine usipende kuweka kisu chako kwenye mfupa wa mwenzio namna hiyo. Vibaya. Tehe tehe tehe.

Mkuu Tumaini Makene huwa mtani wangu Ritz ana msemo wake usemao Mnafiki ni Chakula ya Mamba.Na kweli huyu bwana mdogo kisandu anastahili kabisa kwa unafiki wake!
 
Last edited by a moderator:
mbona PADRI SLAA SIMUONI....au macho yangu hayaoni vizuri

Padri ni alama ya heshima. Mimi sio mkatoliki lakini ukweli ndio huo. Kwa hiyo kumuita Dr. Slaa padri usifikiri unakosea. Ukitamka tu padri ujue ni elimu degree 1 kuendelea, hekima, upendo, maono ya muda mrefu ( ndio maana hawa watu wanaanza kubuni shughuli ya miaka 50 inayokuja leo wakati wewe na hao unaowaamini wanaanza kukurupuka ikifika miaka50)
Mtu aliyebobea kwenye huo upadri na kuwa kiongozi ujue ni kiongozi hasa kuliko hata Pinda na Lowasa wanaokurupuka na shule za kata bila mipango madhubuti. Ndio maana shule zao, hospitali zao, vyuo vyao. mashirika ya misaada n.k zinafanya vizuri kuliko taasisi za serikali zinazokusanya kodi lukuki.
 
Wewe kweli mtu wa ajabu.Wewe si ndiyo ulikuwa unalalamika kwamba wageni wanaojiunga Chadema wanapewa kipaumbele?

Wewe una siku 2 tangu ujiunge na NCCR halafu umeteuliwa kuwakilisha chama wakati wapo wakongwe kibao ndani ya chama.Halafu bila aibu unakuja hapa kujisifu.

Leo nimeamini mnafiki njia yake ni fupi sana.Yaani umejiumbua hata kabla wino uliotumia kuandika maandishi yako haujakauka.
Usimshangae uchu wa madaraka huo mwana JF! WEWE fikiria mtu hafahamiki popote zaidi ya hapa JF anatangaza kugombea urais sasa na huko sijui napo anagombea au kazira?shame on you Kisanduku!
 
Back
Top Bottom