only83
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 5,343
- 2,527
Leo NCCR-mageuzi tulipeleka rasimu ya Katiba kwa Tume ya mabadiliko ya katiba saa 7 mchana, msafara uliongozwa na mwenyekiti wa chama na mimi kama mjumbe nikiwa ndani ya msafara. Huku wanafata utaratibu wa wote kushiriki mambo si walewale kila siku.
Unajua wakati niliposikia unaondoka CHADEMA nilisikitika sana, na nilisikitika kwasababu nilikuwa sikufahamu sana. Ila kwa hoja hii, nashukuru sana kwa wewe kuondoka CHADEMA, ulikuwa ni zigo tena zigo la misumari. Hoja kama hii haiwezi kuletwa na kijana ambaye ni great thinker mwenye uwezo wa kutafakari kwa kina. Hii hoja inafaa kuletwa na mtu ambaye hata hajakanyaga std one. Very stupid post, na kama kwa mpango huu ndio unadhani wewe ni kiongozi kweli hii nchi imefilisika. Niwashauri vijana wa kitanzania, na hasa nyie mnaojifanya wana-siasa wakati ni wachumia tumbo. Nendeni kasomeni namna ya kufanya tafakari ya kina, na kutoa hoja. Ama sivyo, mnatutia aibu vijana wengine ambao tupo nyuma yenu.