Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ujuwe kwamba Chadema vimesheheni vichwa, kwanza Tundu Lisu peke yake alikuwa anatosha kabisa ndio maana unaona Dr Slaa ameamuwa afanye majukumu mengine.
Muulize Phillip Mangula atakueleza.Kutoa maoni si kubwabwaja porojo za siasa,hapo wengi wamesindikiza tu. Hivi kazi ya makamu mwenyekiti Chadema ni ipi?
Zitto Kabwe ni msaidizi wa Dr Slaa na yupo hapo unless unieleze hujui maana ya Naibu katibu Mkuu. huna hoja.Kama yapi huku mwenyekiti wake yupo pale au Katibu siyo sec wake? Nafikiri ilikuwa zamu yake ya kulea mtoto.
Mangula tena?Muulize Phillip Mangula atakueleza.
Leo NCCR-mageuzi tulipeleka rasimu ya Katiba kwa Tume ya mabadiliko ya katiba saa 7 mchana, msafara uliongozwa na mwenyekiti wa chama na mimi kama mjumbe nikiwa ndani ya msafara. Huku wanafata utaratibu wa wote kushiriki mambo si walewale kila siku.
Usitake kudanganya umma wa JF mbona hajawahi kukaimu madaraka siku zote anamwachia kiti John Mnyika au yuko radhi afunge ofisi.Zitto Kabwe ni msaidizi wa Dr Slaa na yupo hapo unless unieleze hujui maana ya Naibu katibu Mkuu. huna hoja.
Yes, Phillip Mangula ni Makamu mwenyekiti.Mangula tena?
Sina muda wa kubishana na Alikwina, labda utueleze wewe Zitto ni nani Chadema?Usitake kudanganya umma wa JF mbona hajawahi kukaimu madaraka siku zote anamwachia kiti John Mnyika au yuko radhi afunge ofisi.
TIMU makini sana hiii naipenda...Kama mtu Kilaza kama wewe Mbatia anakushirikisha kwenye swala sensitive kama la katiba basi NCCR imeoza. Chadema hakuna mbulula kama wewe wa kushirikishwa kwenye jambo sensitive kama hili.
Ona timu ya Chadema ikielekea kutoa maoni yao ya katiba.
![]()
Yes, Phillip Mangula ni Makamu mwenyekiti.
Nimesikia kama ndio mwenyekiti CHAUMASina muda wa kubishana na Alikwina, labda utueleze wewe Zitto ni nani Chadema?
Mkuu hebu acha utoto, sasa ume-post nini hiki?Leo NCCR-mageuzi tulipeleka rasimu ya Katiba kwa Tume ya mabadiliko ya katiba saa 7 mchana, msafara uliongozwa na mwenyekiti wa chama na mimi kama mjumbe nikiwa ndani ya msafara. Huku wanafata utaratibu wa wote kushiriki mambo si walewale kila siku.
Leo NCCR-mageuzi tulipeleka rasimu ya Katiba kwa Tume ya mabadiliko ya katiba saa 7 mchana, msafara uliongozwa na mwenyekiti wa chama na mimi kama mjumbe nikiwa ndani ya msafara. Huku wanafata utaratibu wa wote kushiriki mambo si walewale kila siku.
Kama ulikuwa humju makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, ni huyu hapa.![]()
Hata kama wote wanafanana ndevu sikatai,lakini mimi ninamzungumzia huyu.