Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
Leo NCCR-mageuzi tulipeleka rasimu ya Katiba kwa Tume ya mabadiliko ya katiba saa 7 mchana, msafara uliongozwa na mwenyekiti wa chama na mimi kama mjumbe nikiwa ndani ya msafara. Huku wanafata utaratibu wa wote kushiriki mambo si walewale kila siku.

Badala ya kutueleza kwa kifupi kilichopo ndani ya hiyo rasimu unatuambia msafara? Mmhhhhh!!!!! Ndio maana ulifukuzwa chadema wewe una hoja za kitoto na DhaifuLeo NCCR-mageuzi tulipeleka rasimu ya Katiba kwa Tume ya mabadiliko ya katiba saa 7 mchana, msafara uliongozwa na mwenyekiti wa chama na mimi kama mjumbe nikiwa ndani ya msafara. Huku wanafata utaratibu wa wote kushiriki mambo si walewale kila siku.
Nikitaka kushangaa Zitto akose,Ben Saanane upo hapo?ZITTO na CHADEMA ni kama kobe na gamba lake.Kama mtu Kilaza kama wewe Mbatia anakushirikisha kwenye swala sensitive kama la katiba basi NCCR imeoza. Chadema hakuna mbulula kama wewe wa kushirikishwa kwenye jambo sensitive kama hili.
Ona timu ya Chadema ikielekea kutoa maoni yao ya katiba.
Leo NCCR-mageuzi tulipeleka rasimu ya Katiba kwa Tume ya mabadiliko ya katiba saa 7 mchana, msafara uliongozwa na mwenyekiti wa chama na mimi kama mjumbe nikiwa ndani ya msafara. Huku wanafata utaratibu wa wote kushiriki mambo si walewale kila siku.
Leo NCCR-mageuzi tulipeleka rasimu ya Katiba kwa Tume ya mabadiliko ya katiba saa 7 mchana, msafara uliongozwa na mwenyekiti wa chama na mimi kama mjumbe nikiwa ndani ya msafara. Huku wanafata utaratibu wa wote kushiriki mambo si walewale kila siku.
Leo NCCR-mageuzi tulipeleka rasimu ya Katiba kwa Tume ya mabadiliko ya katiba saa 7 mchana, msafara uliongozwa na mwenyekiti wa chama na mimi kama mjumbe nikiwa ndani ya msafara. Huku wanafata utaratibu wa wote kushiriki mambo si walewale kila siku.
Zitto yupo na ataendelea kuwepo na hafukuzwi na yeye ndio ndoano ya Chadema kuwakamata vijana wote wenye tamaa za mafanikio ya haraka haraka na yeye atabaki kuwa salama. yeye ni special Agent wa Chadema kuwaprehand wahalifu wote bila kujijuwa.Nikitaka kushangaa Zitto akose,Ben Saanane upo hapo?ZITTO na CHADEMA ni kama kobe na gamba lake.
Kama mtu Kilaza kama wewe Mbatia anakushirikisha kwenye swala sensitive kama la katiba basi NCCR imeoza. Chadema hakuna mbulula kama wewe wa kushirikishwa kwenye jambo sensitive kama hili.
Ona timu ya Chadema ikielekea kutoa maoni yao ya katiba.
Lengine ninalo,sasa jazba ya nini?Zitto yupo na ataendelea kuwepo na hafukuzwi na yeye ndio ndoano ya Chadema kuwakamata vijana wote wenye tamaa za mafanikio ya haraka haraka na yeye atabaki kuwa salama. yeye ni special Agent wa Chadema kuwaprehand wahalifu wote bila kujijuwa.
Kama unalingine sema hapa umekwama na Ben Saanane ni next level alingani kwa lolote na mtu kama wewe. siyo tu kwamba Zitto na Chadema ni kama kobe na gamba lake bali kama CCM na Ufisadi ni dam dam.
Ndio ujuwe kwamba Chadema vimesheheni vichwa, kwanza Tundu Lisu peke yake alikuwa anatosha kabisa ndio maana unaona Dr Slaa ameamuwa afanye majukumu mengine.Vipi Dr. Slaa yeye alikosa namba?
Kutoa maoni si kubwabwaja porojo za siasa,hapo wengi wamesindikiza tu. Hivi kazi ya makamu mwenyekiti Chadema ni ipi?Vipi Dr. Slaa yeye alikosa namba?