Anna Nkya
Member
- Oct 21, 2021
- 69
- 341
Soo jana, Rais Samia Suluhu alisema kwamba zamani muafaka katika siasa ulikuwa unafikiwa kwa kutumia ncha ya upanga lakni hivi sasa muafaka unatumiwa kwa ncha ya ULIMI.
Alichokuwa anamaanisha ni kwamba zamani watu walitumia vitisho, mapigano na vita kupata walichokitaka, lakini hivi sasa watu wanapaswa kutumia mazungumzo na maridhano.
Alitolea mfano wa Zanzibar ya mwaka 2001, watu walipigana wakauwana lakini hawakupata walichokitaka. Walitumia mazungumzo wakapata muafaka.
Hilo hakuwa anazungumzia jambo la kesi ya Mbowe pekee, aliongele umoja as in the whole nation. 'Ncha ya Ulimi wa Samia' ilithibitika kupitia baadhi ya maneno yake ambayo tunaweza kuyaquote hapa chini:
1. “Tunapokwenda kuzungumza na hatukukubaliana, baasi tupingane kwa hoja. Tupingane kwa hoja za kizalendo zenye kuongozwa na uhalisia wetu kiutamaduni, uhalisia wetu kijamii, na uhalisia wetu kiuchumi.” Rais Samia Suluhu.
2. “Nadhani mnaona huko kwenye mitandao watu wanabishana, kuna mambo yanalazimishwa yawe, hayaendi na utamaduni wa Kitanzania. Au saa nyingine viongozi wa vyama vya siasa watataka mambo ambayo kwa uchumi wa Tanzania hatuwezi.” Rais Samia Suluhu
3. "Tuzungumze tufikie maridhiano, ya kuzizika tofauti zetu. Hili ndio lengo langu. Sisi ni Taifa moja, wala hakuna mwenye cheti akasema mimi nina cheti cha kuimiliki Tanzania, hakuna. Wote ni Watanzania.” Rais Samia Suluhu
4. “Nikuombeni Wenyeviti wenzangu wa vyama vya siasa, tusitazame yaliyopita. Tutazame mbele kwa matumaini. Tuweke nguvu yetu pamoja kujenga Tanzania mpya, yenye kusameheana, yenye kuheshimiana na kufungua kurasa mpya za kwenda demokrasia yetu” Rais Samia Suluhu
5. “Kama mlezi natakiwa kuwa mvumilivu, msikivu na mwenye kusamehe. Na niko tayari kufanya yote haya. Nitasikiliza, nitavumilia mnayoniambia, mnayonikosoa, na niko tayari kusamehe pia ili tuende vyema” Rais Samia Suluhu
Such quotes, are enough kuonesha kwamba Rais huyu yuko tayari sana kutumia ncha ya ulimi, anashaurika, anataka kushauriana.
On the other hand, CHADEMA wanasisitiza kwamba wao hawataki "MARIDHIANO". Hebu waulizwe wanataka nini? Kama hawataki 'Ncha ya Ulimi' itumike ina maaana wanataka 'Ncha ya Upanga'. Wanataka nchi isiwe na amani, wanataka machafuko. WATAWEZA? Kwa nini wanaamini katika kufarakana?
MWISHO: Kesi ya Mbowe is just one issue, maridhiano yana sura pana sana. These people wanaojitapa kwamba hawataki maridhiano na mambo kumalizwa kwa kujadiliana, NI WATU WABAYA. TUWAKATAE