Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 731
- 2,707
Hata wakiteua mbwa sawa maana wote Tanganyika tu sawa na mbwa koko"....Mwigulu atateuliwa kuwa VP na Makonda anaenda kuwa PM"
"....uamuzi alishauamua tokea akiwa Zanzibar na ni Washirika wake wachache sana aliowajuza; mmoja-wao ni Abeid"
"....anamwona Mwigulu anapwaya kuwa PM na kwa sababu ya hilo la EN ku resign, anaona ni wasaa sahihi wa kumpa nafasi isiyo na kash-kash. Kumbuka Watumishi wengi hususan Tamisemi, wanamlalamikia Mwigulu amekuwa akiwadhalilisha"
"....seems, Makonda anaushawishi mkubwa sana kwa huyo mama tofauti kabisa na wengi wanavyo-dhania! Hata hoja ya EN atoswe, aliisimamia yeye kidete kwa mama"
"....Makonda anautaka U-kuu baada ya mama na wakati wote amekuwa akitaka aonekane ni mtu sahihi wa kulinda maslahi ya aliyepo wakati atakapo achia ngazi"
"....acha tuone mwishowe, japo kuna ka-mvurugo ka waziwazi sasa."
Duru.
Ah bwana ndugu , punguza jazba bwana. Unaamanisha sisi sio wale* HII NYUMBA INA MBWA MKALI. * .Hata wakiteua mbwa sawa maana wote Tanganyika tu sawa na mbwa koko
Mimi naona Sawa tuMwigulu atateuliwa kuwa VP na Makonda anaenda kuwa PM"
Uamuzi alishauamua tokea akiwa Zanzibar na ni Washirika wake wachache sana aliowajuza; mmoja-wao ni Abeid"
Anamwona Mwigulu anapwaya kuwa PM na kwa sababu ya hilo la EN ku resign, anaona ni wasaa sahihi wa kumpa nafasi isiyo na kash-kash. Kumbuka Watumishi wengi hususan Tamisemi, wanamlalamikia Mwigulu amekuwa akiwadhalilisha"
Seems, Makonda anaushawishi mkubwa sana kwa huyo mama tofauti kabisa na wengi wanavyo-dhania! Hata hoja ya EN atoswe, aliisimamia yeye kidete kwa mama"
Makonda anautaka U-kuu baada ya mama na wakati wote amekuwa akitaka aonekane ni mtu sahihi wa kulinda maslahi ya aliyepo wakati atakapo achia ngazi"
Acha tuone mwishowe, japo kuna ka-mvurugo ka waziwazi sasa."
Duru.
Chawa safari hii sio ramli chonganishi tena? Wauaji wanavurugana vibaya.Siku ngumu sana leo
Mbwa koko ndiye anaweza kutendewa tunayotendewa...If A=B and B= C. Then A= CAh bwana ndugu , punguza jazba bwana. Unaamanisha sisi sio wale* HII NYUMBA INA MBWA MKALI. * .
Unamjua Makonda? Yaani kama atawekwa Nafasi hiyo basi watamkumbuka Mr. Romo-Romo guys.Kumbuka Watumishi wengi hususan Tamisemi, wanamlalamikia Mwigulu amekuwa akiwadhalilisha
Kwamba buku 7 hazitoki lumumba kwa leo?Siku ngumu sana leo
Ccm imejaa machokoMwigulu atateuliwa kuwa VP na Makonda anaenda kuwa PM"
Uamuzi alishauamua tokea akiwa Zanzibar na ni Washirika wake wachache sana aliowajuza; mmoja-wao ni Abeid"
Anamwona Mwigulu anapwaya kuwa PM na kwa sababu ya hilo la EN ku resign, anaona ni wasaa sahihi wa kumpa nafasi isiyo na kash-kash. Kumbuka Watumishi wengi hususan Tamisemi, wanamlalamikia Mwigulu amekuwa akiwadhalilisha"
Seems, Makonda anaushawishi mkubwa sana kwa huyo mama tofauti kabisa na wengi wanavyo-dhania! Hata hoja ya EN atoswe, aliisimamia yeye kidete kwa mama"
Makonda anautaka U-kuu baada ya mama na wakati wote amekuwa akitaka aonekane ni mtu sahihi wa kulinda maslahi ya aliyepo wakati atakapo achia ngazi"
Soma Pia: Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu
Acha tuone mwishowe, japo kuna ka-mvurugo ka waziwazi sasa."
Duru.
Sio Tive akeeeMwigulu atateuliwa kuwa VP na Makonda anaenda kuwa PM"

Ikiwa mwendo ni kutoa watu na kuwela takaraka utakuwa ni sawaMwigulu atateuliwa kuwa VP na Makonda anaenda kuwa PM"