The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,508
- 3,136
Leo tutasikia mengi maana kila mtu anajikuta britanicca na mto wa mbu .Mwigulu atateuliwa kuwa VP na Makonda anaenda kuwa PM"
Uamuzi alishauamua tokea akiwa Zanzibar na ni Washirika wake wachache sana aliowajuza; mmoja-wao ni Abeid"
Anamwona Mwigulu anapwaya kuwa PM na kwa sababu ya hilo la EN ku resign, anaona ni wasaa sahihi wa kumpa nafasi isiyo na kash-kash. Kumbuka Watumishi wengi hususan Tamisemi, wanamlalamikia Mwigulu amekuwa akiwadhalilisha"
Seems, Makonda anaushawishi mkubwa sana kwa huyo mama tofauti kabisa na wengi wanavyo-dhania! Hata hoja ya EN atoswe, aliisimamia yeye kidete kwa mama"
Makonda anautaka U-kuu baada ya mama na wakati wote amekuwa akitaka aonekane ni mtu sahihi wa kulinda maslahi ya aliyepo wakati atakapo achia ngazi"
Soma Pia: Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu
Acha tuone mwishowe, japo kuna ka-mvurugo ka waziwazi sasa."
Duru.
"Anamwona Mwigulu anapwaya kuwa PM na kwa sababu ya hilo la EN ku resign, anaona ni wasaa sahihi wa kumpa nafasi isiyo na kash-kash. Kumbuka Watumishi wengi hususan Tamisemi, wanamlalamikia Mwigulu amekuwa akiwadhalilisha"
Hivi unamjua makonda kwenye hilo swala ulosema hapo juu? 😂😂🙌