Tetesi: Nchemba kuwa Makamu wa Rais na Makonda kuwa Waziri Mkuu

Leo tutasikia mengi maana kila mtu anajikuta britanicca na mto wa mbu .

"Anamwona Mwigulu anapwaya kuwa PM na kwa sababu ya hilo la EN ku resign, anaona ni wasaa sahihi wa kumpa nafasi isiyo na kash-kash. Kumbuka Watumishi wengi hususan Tamisemi, wanamlalamikia Mwigulu amekuwa akiwadhalilisha"

Hivi unamjua makonda kwenye hilo swala ulosema hapo juu? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Ila wabongo bana. Mi nasema wampe huyo Makonda wenu ili azame Moja kwa Moja na huyo mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…