Haha...Si ajabu tunashuhudia tabia za hovyo na za kimaskini za mfumo mzima wa uongozi katika nchi hizi...imagine mbunge anapigwa risasi 38 mchana kweupe kwenye makazi ya viongozi yenye ulinzi wa 24/7 na hakuna uchunguzi unafanyika...GARBAGE IN GARBAGE OUT!Sisi ni matajiri sana Na tuko kwenye raiti traki,tunaenda kuwa donor country!!!
Teeeeeeeeeh Teeeeeeeeeeeh Teeeeeeeeeh tunanunua midege yetu kwa keeshiiiiiJiwe ana kazi sana kulifanya shamba lake kuwa "DONA KANTRE"!
View attachment 854152
Hao ni cdm waliotoa hiyo ripotiSomalia,Zambia wanatuzidi!!!
Hata hivyo tunaonekana tutatoka kumi duni mapema sana,ni point chache sana zimebakia.Wachumi watatuongoza
Hapo CDM hawahusiki,ni serikali ya CCM since uhuru hadi sasa tunapigania maisha kwenye last ten!AJABU