Wewe huelewi vipimo vya umaskini wa nchi vya nchi za magharibi vinaangalia Pato la kifedha la mtu ,ni umaskini wa kipato cha pesa ambazo wao viwanda vyao ndio printers .Afrika vijijini tuna subsistance enonomy kwa asilimia kubwa.Mtu unakuta Ana shamba la chakula,ana,kuku,ana mayai Ana mbuzi,ana ngombe wa maziwa Ana migomba anakula vizuri kuliko mke wa Trump kwa kula mboga Na matunda fresh ya kuchumwa hapo hapo.Lakini sababu hauzi sokoni anahesabika kati ya maskini!!!! Sababu mulo wake hakuna wa kuupigia hesabu sokoni akaizungusha hela iliyochapishwa Na kiwanda cha mzungu.Waweke vigezo vya uwezo wa kujiari Tanzania tutawabwaga hadi wamarekkani sababu watu wetu asilimia 75 imejiajiri sekta ya kilimo Na ufugaji.Wakati Marekani population kubwa hata vijijini wameajiriwa vibarua mashambani Na kwenye mifugo.Kipimo cha kujiari kikiwekwa Africa itakuwa Dunia ya kwanza Na ulaya Na marekani watakuwa Dunia ya tatu