Nchi 10 maskini zaidi duniani: Tanzania ya 9, Uganda ya 3

Nchi 10 maskini zaidi duniani: Tanzania ya 9, Uganda ya 3

Umasikini wa nchi hauna shida, shida ni umasikini wako ambao unaufeel moja kwa moja. Je kuna haja gani ya kuwa na nchi tajiri na watu wake kuwa masinikini? Kuna nchi zenye uchumi mzuri tu lakini Njaa yao, ufisadi wao, vita vyao. Ni bora kuwa masikini mwenye amani kuliko tajiri mwenye mashaka.
Kweli kabisa mkuu mfano Kenya inaonekana ni nchi yenye uchumi ulioimarika lakini watu wake hawawezi kumiliki ardhi isipokuwa wale matajiri ndio waliojilimbikia ardhi, Afrika kusini kuna sehemu watu wake wanaishi ktk umasikini uliokithiri vurugu kila siku na kuuana.
Bora tubaki na umasikini wetu wenyeamani na kupendana

'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
 
Somalia,Zambia wanatuzidi!!!
Hata hivyo tunaonekana tutatoka kumi duni mapema sana,ni point chache sana zimebakia.Wachumi watatuongoza

Provided wale walokuwa nje ya kumi na wao wataanguka ama watabaki hapo hapo.

Kuna chance kubwa ya Ethiopia kutoka humo kuliko Tanzania as per data.
 
Sisi ni matajiri sana Na tuko kwenye raiti traki,tunaenda kuwa donor country!!!
Umasikini sio kukosa pesa. Ila ni kukosa ndoto za kutafuta pesa. Endelea kuomba bila kufanya kazi. Wengine tunasonga mbele
 
utasemaje nchi maskini wakati huilishi Wala kubisha.Na Wala hakuna mtanzania aliyekufa kwa njaa? Matajiri wakubwa Mbona wapo akina mengi,bakheresa,Dewji nk.Maskini wenyewe Na mama zao
Ikibidi wanyang'anywe pasport
 
hakuna sudani kusini, somalia, burundi wala jamuhuri ya africa ya kati?? hiyo orodha yako ni ya kufikirika
 
Pamoja na umaskini wetu hatujambo kwa kujipiga kifua na kusema this great nation of ours. Tuwe wapole na kufuta ujinga.
 
Duh hii umeitoa wapi?somalia watatupitaje .....mm skubali
Nko tayari kurusha ngumi aisee

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha hahaha jamaa wanasafirisha ngamia kwenda dubai kama hawana akili
Na wote wwfanyabiashara
Diaspora wanaingiza hela za kigeni kila kukicha
Unajua kuna wasomali wengi sana nje ambao kila kukicha wanatuma hela kwao?

Sisi hata nyanya tumeshindwa kusafirisha

Sent from my SM using Tapatalk
 
Yani Ethiopia pamoja na mindege yao yote ile bado tumewapita.....!!
Kumbe kununua mindege bila kuwa na mipango madhubuti ya kiuchumi si issue kama tunavyoaminishwa hapa kwetu na watukufu...

Nawaza tu lakini nisije pigwa mawe..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rubbish.
Wapi Sudan Kusini
Somalia
Burundi
n.k
 
Haha...Si ajabu tunashuhudia tabia za hovyo na za kimaskini za mfumo mzima wa uongozi katika nchi hizi...imagine mbunge anapigwa risasi 38 mchana kweupe kwenye makazi ya viongozi yenye ulinzi wa 24/7 na hakuna uchunguzi unafanyika...GARBAGE IN GARBAGE OUT!
Hata ukiwa kwenye msafara kama JF Kennedy wanakutungua tu bro!
 
Back
Top Bottom