Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Hao siyo Twaweza mnao waburuza mtakavyoMi huwa sizikubali kabisa hizi tafiti wametumia kipimo gani hawa
'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao siyo Twaweza mnao waburuza mtakavyoMi huwa sizikubali kabisa hizi tafiti wametumia kipimo gani hawa
'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
Kwa kuichangia hii mada nawewe ni mpuuzi mkubwaJamii Forum imegeuka shule ya kukuza vipaji vya upumbavu.
Hivi thread hii ya hayawani huyu anaejitia kidole na kujinusa tunaivumilia kweli?
=and our prezidaa goes to and fro uganda to seek political and economic advice from museveni 'himu serufu' unatarajia nn hapo?
Wewe wacha kujifariji hiyo ripoti imeyazingatia yote hayoKweli kabisa mkuu mfano Kenya inaonekana ni nchi yenye uchumi ulioimarika lakini watu wake hawawezi kumiliki ardhi isipokuwa wale matajiri ndio waliojilimbikia ardhi, Afrika kusini kuna sehemu watu wake wanaishi ktk umasikini uliokithiri vurugu kila siku na kuuana.
Bora tubaki na umasikini wetu wenyeamani na kupendana
'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
Wange isifia mge ipongezatafiti ambayo hata haina source ni kma mtu anajifunza jinsi ya kutumia powerpoint, akakopi akatuketea, kutuonyesha kuwa anaweza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwez kukubali, wametumia vyanzo gani vya kupima hizo takwimu zao
Hao siyo TwawezaSiwez kukubali, wametumia vyanzo gani vya kupima hizo takwimu zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Wawe wasiwe hawana takwimu sahihi, miaka hii kuna biashara nyingi sana kwa njia ya mtandao, wanahesabu hilo pia, wanaangalia tu GDP, GNP je zingine wanaangalia
Siyo TWAWEZA mnao wapangiaWawe wasiwe hawana takwimu sahihi, miaka hii kuna biashara nyingi sana kwa njia ya mtandao, wanahesabu hilo pia, wanaangalia tu GDP, GNP je zingine wanaangalia
Sent using Jamii Forums mobile app