Nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na vvu

Nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na vvu

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Hizi ni nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na VVU;

1. Afrika Kusini: 7,700,000
2. Msumbiji: 2,400,000
3. Nigeria: 1,700,000
4. Uganda: 1,500,000
5. Kenya: 1,400,000
6. Zambia: 1,300,000
7. Zimbabwe: 1,300,000
8. Malawi: 980,000
9. Ethiopia: 610,000
10. DRC: 520,000
 
Hizi ni nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na VVU;

1. Afrika Kusini: 7,700,000
2. Msumbiji: 2,400,000
3. Nigeria: 1,700,000
4. Uganda: 1,500,000
5. Kenya: 1,400,000
6. Zambia: 1,300,000
7. Zimbabwe: 1,300,000
8. Malawi: 980,000
9. Ethiopia: 610,000
10. DRC: 520,000
Ungeweka na population zake pia
 
Hizi ni nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na VVU;

1. Afrika Kusini: 7,700,000
2. Msumbiji: 2,400,000
3. Nigeria: 1,700,000
4. Uganda: 1,500,000
5. Kenya: 1,400,000
6. Zambia: 1,300,000
7. Zimbabwe: 1,300,000
8. Malawi: 980,000
9. Ethiopia: 610,000
10. DRC: 520,000
Umeamua kuandika hivi Kwamba USAID wabadili msimamo ama?
 
Hizi ni nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na VVU;

1. Afrika Kusini: 7,700,000
2. Msumbiji: 2,400,000
3. Nigeria: 1,700,000
4. Uganda: 1,500,000
5. Kenya: 1,400,000
6. Zambia: 1,300,000
7. Zimbabwe: 1,300,000
8. Malawi: 980,000
9. Ethiopia: 610,000
10. DRC: 520,000
Huu Uongo


TZ ni 1.6 M
 
Below is a general overview of HIV prevalence rates in some African countries as of recent data (note that these figures are approximate and may vary depending on the source and year):

### High-Prevalence Countries (over 10% prevalence):
1. Eswatini (Swaziland): ~27% (one of the highest rates globally).
2. Lesotho: ~21%.
3. Botswana: ~19%.
4. South Africa: ~18%.
5. Namibia: ~13%.
6. Zimbabwe: ~12%.
7. Zambia: ~11%.
8. Mozambique: ~11%.

### Moderate-Prevalence Countries (5%–10% prevalence):
1. Malawi: ~9%.
2. Uganda: ~6%.
3. Kenya: ~5%.
4. Tanzania: ~5%.
5. Cameroon: ~4%.
6. Côte d'Ivoire: ~4%.

### Lower-Prevalence Countries (below 5% prevalence):

1. Nigeria: ~3%.
2. Ghana: ~2%.
3. Senegal: ~0.5%.
4. Ethiopia: ~1%.
5. Morocco: ~0.1%.

### Key Notes:
  • Southern Africa has the highest HIV prevalence rates globally, with countries like Eswatini, Lesotho, and South Africa being particularly affected.
  • West Africa generally has lower prevalence rates compared to Southern and East Africa.
  • North Africa has some of the lowest rates on the continent, with countries like Morocco and Algeria having very low prevalence.

### Sources:
  • UNAIDS (Joint United Nations Programme on HIV/AIDS) provides the most comprehensive and up-to-date data on HIV prevalence globally.
  • World Health Organization (WHO) and national health surveys also contribute to these statistics.

For the most accurate and current data, consult the latest reports from UNAIDS or WHO.

Kwa msaada wa DeepSeek
 
Aisee ni noma! na hapo hao wote wanahitaji ARVs
 
Hizi ni nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na VVU;

1. Afrika Kusini: 7,700,000
2. Msumbiji: 2,400,000
3. Nigeria: 1,700,000
4. Uganda: 1,500,000
5. Kenya: 1,400,000
6. Zambia: 1,300,000
7. Zimbabwe: 1,300,000
8. Malawi: 980,000
9. Ethiopia: 610,000
10. DRC: 520,000
Tz inawathirika 2 million afu hapo haipo kweli
 
Hii habari niliiona sijui ni BBC nikajiuliza zile takwimu za 2M + Tanzania huwa zinafichwa huko nje ama...
 
Hizi ni nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na VVU;

1. Afrika Kusini: 7,700,000
2. Msumbiji: 2,400,000
3. Nigeria: 1,700,000
4. Uganda: 1,500,000
5. Kenya: 1,400,000
6. Zambia: 1,300,000
7. Zimbabwe: 1,300,000
8. Malawi: 980,000
9. Ethiopia: 610,000
10. DRC: 520,000

ukiweka kwa asilimia Nigeria itakuwa na idadi ndogo kulingana na population kitu kama 0.7%
Wakati huo huo Nchi kama malawi itakuwa na takriban 5%
Na hapo huwa ndio tunadanganywa kwa sababu ya kutokujua hesabu
 
Tanzania ni moja ya nchi yenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na maambukizi ya vvu na ukimwi, sema hatuna takwimu sahii, takwimu zikikusanywa kwa usahihi watu hao wanaweza kufikia 10millions. Kama serikali imeamua kusambaza ARV kwa wagonjwa hao basi itoe takwimu sahihi ili wafadhiri walete dawa hizo kulingana na idadi ya watu. Cc SweetyCandy makaveli10
 
Back
Top Bottom