Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Trump halegezi kamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tz hatukosi 3 bora.Tz hspo top 10 kweli?
Kwa mtiririko tu inaonesha Nchi zenye Aman ndio zenye wingi wa virusiHizi ni nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na VVU;
1. Afrika Kusini: 7,700,000
2. Msumbiji: 2,400,000
3. Nigeria: 1,700,000
4. Uganda: 1,500,000
5. Kenya: 1,400,000
6. Zambia: 1,300,000
7. Zimbabwe: 1,300,000
8. Malawi: 980,000
9. Ethiopia: 610,000
10. DRC: 520,000
Njombe😄Makete haipo?
Ai chat botsChanzo cha taarifa please
Tanzania walokole kichizi maji ya Mwamposa yanafuta sana virusi, jumlisha ya Suguye, na ya Yule Nabii feki mwenye upakoHizi ni nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na VVU;
1. Afrika Kusini: 7,700,000
2. Msumbiji: 2,400,000
3. Nigeria: 1,700,000
4. Uganda: 1,500,000
5. Kenya: 1,400,000
6. Zambia: 1,300,000
7. Zimbabwe: 1,300,000
8. Malawi: 980,000
9. Ethiopia: 610,000
10. DRC: 520,000
Hii taarifa kama sio ya kweli italeta madhara makubwa baadae...watembea peku wataongezeka maradufu, na hapo ndio itakuwa kilio na kusaga meno!Nimeshangaa ukizingatia watu wengi sana wanaokwenda hizo nchi wanapita Tz
Kwa wastani(HIV positive/population)Hizi ni nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na VVU;
1. Afrika Kusini: 7,700,000
2. Msumbiji: 2,400,000
3. Nigeria: 1,700,000
4. Uganda: 1,500,000
5. Kenya: 1,400,000
6. Zambia: 1,300,000
7. Zimbabwe: 1,300,000
8. Malawi: 980,000
9. Ethiopia: 610,000
10. DRC: 520,000
SureHii taarifa kama sio ya kweli italeta madhara makubwa baadae...watembea peku wataongezeka maradufu, na hapo ndio itakuwa kilio na kusaga meno!