Nchi 10 Zinazoongoza Kwa Kutembelewa na Watalii Wengi Duniani."International Visitors"

Uchumi wao ni mkubwa kuliko wa kwetu, technologia wako juu kuliko sisi. Kumbuka tuna mshinda nini Mzungu hapa duniani?
Lakini wanaofanya Utalii kule sio Wao Bali wageni.

Pili kama hoja ni Ukubwa wa Uchumi Tunisia inazidi kipi Tanzania,Nigeria au South Africa Hadi wawe na visitors over 10mln pee year?
 
Kwan dubai imetoka wap??
si jangwani??
maldive wananini?? au sychellles wana nn??

Tumia akili hata kidogo usibebe kichwa kama pambo
Matusi ya nini? Hao ulio sema walikuwa na will and power, sasa hapa kwetu hamna hivyo vitu kwa sasa. Matusi sio poa.
 
Lakini wanaofanya Utalii kule sio Wao Bali wageni.

Pili kama hoja ni Ukubwa wa Uchumi Tunisia inazidi kipi Tanzania,Nigeria au South Africa Hadi wawe na visitors over 10mln pee year?
Tunisia imetoka wapi tena? Na hizi nchi nyingine umezitaja za nini? Mm naonglea list iliyo chapishwa mwanzo mwa uzi.
 
Sijawahi kuielewa royal tour. Au kulikuwa na hidden agenda ili aonekane kimataifa kwamba ndiyo rais.
 
Matusi ya nini? Hao ulio sema walikuwa na will and power, sasa hapa kwetu hamna hivyo vitu kwa sasa. Matusi sio poa.
Nilitaka uzinduke usingizini
Utalii si ishu ya kuwa tajiri ni kuweka vipaumbele kwene vivutio na luxury ambazo dunia ya sasa inazitaka.

Ukiangalia kanchi kama monaco ni kadogo kama kisiwa cha mafia ila kalivo jibland na kua na watalii na mabilionea utakimbia
 
Tunisia imetoka wapi tena? Na hizi nchi nyingine umezitaja za nini? Mm naonglea list iliyo chapishwa mwanzo mwa uzi.
Wewe umesema Nchi za North Africa zimeendelea kiuchumi ndio maana zinapokea watalii wengi.

Ndio nimekutajia hizo Nchi zimeendelea kuliko Tunisia lakini mbona watalii ni kiduchu?
 
ni propositions za wazungu mkuu, na tatizo letu tunafuata tu!
 
Kwa nini ishindikane? Nchi za North Africa Zina kipi Cha ziada kutushinda ?
Acha utani basi babaaa. Kwamba hawana Cha kutuzidi Misri, algeriA, Tunisia,nk.
Hebu nenda cheki kuhusu uchumi wao,wingi wa vivutio, na hata teknolojia na nguvu za kijeshi then njoo Tena boss
 
Sasa kwa akiri yako, tunaweza kuwa na miji na starehe kushindana na hao jamaa?

mkuu kwani ulifikiria ku sate miji kwa starehe lazime muwe na uwezo kama france?
 

waafrika ni watu wenye mawazo mgando kabisa, bado tunahisi kama twiga ni diili kiasi hicho.
 
Kwamba Tanzania tumejikita kwenye Wanyama Pekee ?!!! Unashauri nini Tuuze Serengeti tujenge Beach pale wakati tuna Indian Ocean tayari na kuna wadau kibao wanakuja for visiting beaches..., Tatizo la kuona fulani kafanya na wewe ufanye badala ya kutumia ulichonacho ndio maana tupo hapa tulipo (huenda hao wana mawazo kama yako) ndio maana tuliona na Kagame kafanya Royal Tour na sisi Tukafanya...

 
Misukule Ya CCM
Haina Aibu Popote Pale
 
Ilihali utalii mkubwa upo kwene
Miji mikubwa
Starehe na bata
Utalii wa ngono
Utalii kwa ajili ya Gamble/kamari
Bado hatujafikia hatua ya kuwa na utalii wa aina hii hivyo ni haki wakitupita hawa mabeberu......ndio maana wanaoongoza hiyo orodha ni njia za ulaya magharibi na Marekani
 
Pamoja na vichekesho vya loyal tour ya mzenzebere lakini hatujafikia hata 20 Bora duniani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…