Nchi 10 Zinazoongoza Kwa Kutembelewa na Watalii Wengi Duniani."International Visitors"

Nchi 10 Zinazoongoza Kwa Kutembelewa na Watalii Wengi Duniani."International Visitors"

Pamoja na vichekesho vya loyal tour ya mzenzebere lakini hatujafikia hata 20 Bora duniani!
We mbumbumbu kweli yaani utegemee royal tour ndio iingize Tanzania top 20 ya Dunia?
 
mkuu kwani ulifikiria ku sate miji kwa starehe lazime muwe na uwezo kama france?
Mm na fikiria inabidi tujenge zaidi yao, kama ni chini yao hawata kuja kama sasa olivyo tumejenga chini yao ndio maana hawaji.
 
1.France -89.4 mln
2.Spain-83.7Mln
3.USA-79.3mln.
4.China -65.7mln.
5.Italy -64.5Mln
6.Turkiye-51.2 mln
7.Mexico -45mln
8.Thailand-39.8mln
9.Germany-39.6
10.United Kingdom -39.4mln.

My Take
Tanzania tunapoteza mda kukomaa kwenye Utalii wa wanyama na nature wakati Dunia imehama huko,kama tunaendelea na utopian thinking hatutakuja kuzikaribia hizo Nchi Bora tuwekeze kwenye Kilimo tuu,just imagine tuna struggle kupata watalii 2mln.kwa mwaka.

Nchi za North Africa zinafanya vizuri Kwa sababu ziko jirani na hao ma giants na wenzetu hawana hata Wanyama.Seems Kuna products za Utalii ambazo zinatakiwa sokoni kuliko wanyama pori.

Kwa data za 2023,Nchi za Africa Zinazoongoza Kwa Watalii ni hizi hapa 👇👇

View: https://x.com/AfricaFactsZone/status/1896195836863717499?t=bTocn7GXOAoA2dtUMHORUA&s=19


View: https://www.instagram.com/p/DHCEl1RN9Yr/?igsh=MnJvMW9vMWh4dXlq
 
Back
Top Bottom