Nchi 15 duniani zinazoogopwa kwa uchawi na ushirikina

15. Saudi Arabia
14. Tanzania
13. Gambia
12. Nepal
11. India
10. Papua New Guinea
9. West Indies
8. Colombia
7. Ghana
6. The Democratic Republic of Congo
5. Indonesia
4. South Africa
3. Chile
2. Mexico
1. Romania
CHINA HAIMO?
 
Tanzania tumejizolea umaarufu Duniani kwa ishu ya Albino.
 
Bahati mbaya sana haya mambo hayana taasisi maalum inayoyasimamia kama ilivyo vitu vingine. Hivyo kila mtu ana rank kivyake.

Kuna ranking nyingine kenya unaikuta inashika #4 hapa Africa na tz haimo kwenye orodha.

Yaani ni vurugu tupu, huwezi kubishana kwa hoja madhubuti hapa
 
Nadhani mauaji ya albino ndio imefikisha bongo hapo
 
List ya Uongooo hiyooo... Nigeria haipo!?????? Shwain kabisaa
 

Hehehehe!! Haya mambo hata hayahitaji ranking, hapa Kenya kumejaa mabango kama hili hapa chini

 
Nigeria haijatajwa hapo?bc siziamini hizi takwimu ,maana yule ndiye baba wa uchawi africa
 
Burkina Faso, Nigeria na south Sudan hazimo. Huu utafiti ni waulongo
 
Hiyo 13 nadhani hata rais wake alishakiri hadharani kwamba ni mganga wa kienyeji
 
Benin Hata serikali inatambua uchawi itakuaje Tanzania iwe juu yake
 
ZINAOGOPWA NA NANI??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…