Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hehehehkama Tz haipo top 3, basi utafiti huu sio sahihi.
JESUS IS LORD&SAVIOR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehehkama Tz haipo top 3, basi utafiti huu sio sahihi.
JESUS IS LORD&SAVIOR
Mkuu kwanini wao wanaendelea kuabudu hadi Leo watu kama kina Putin ni wadau wazuri wa dini unadhani hawalijui hiliWa imani za kimagharibi zilizokuja kwa majahazi ya upepo!
Kwa mpumbavu Kama wewe hujui hata maana ya IQ and the basis of itHabari wadau wa JamiiForums,
Leo nimekuja na mada nyeti kidogo, lakini yenye umuhimu mkubwa wa kujadiliwa. Mara nyingi tunazungumzia mataifa yenye watu wenye IQ kubwa, lakini je, umewahi kujiuliza ni nchi gani zina viwango vya chini vya IQ duniani?
IQ (Intelligence Quotient) ni kipimo cha uwezo wa mtu kufikiri, kutatua matatizo, na kuelewa mambo kwa haraka. Ingawa IQ inaweza kuathiriwa na mambo kama lishe, mfumo wa elimu, afya ya akili, na mazingira ya kijamii, bado kuna tofauti kubwa kati ya nchi moja na nyingine.
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali, zipo nchi ambazo kwa wastani zina viwango vya chini vya IQ. Baadhi ya sababu zinazochangia hali hii ni pamoja na:
- Elimu duni: Mifumo duni ya elimu huathiri uwezo wa kufikiri kwa kina.
- Lishe mbaya utotoni: Utapiamlo huathiri maendeleo ya ubongo wa mtoto.
- Mazoea ya kijamii na utamaduni: Baadhi ya jamii hazihamasishi kufikiri kwa kina au kupenda kusoma.
- Afya ya akili na magonjwa: Magonjwa ya kurithi au mazingira yenye uchafu yanaweza kupunguza uwezo wa ubongo.
Orodha ya Nchi 30 Zenye Wastani Mdogo wa IQ
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali, hizi ni nchi 30 zinazokadiriwa kuwa na viwango vya chini vya IQ duniani:
1. Equatorial Guinea – IQ 59
2. Sierra Leone – IQ 60
3. Liberia – IQ 62
4. Nepal – IQ 63
5. Guinea-Bissau – IQ 64
6. Haiti – IQ 65
7. Chad – IQ 65
8. Mali – IQ 66
9. Burkina Faso – IQ 67
10. Mozambique – IQ 67
11. Niger – IQ 68
12. Angola – IQ 69
13. Burundi – IQ 69
14. Congo (DRC) – IQ 70
15. Madagascar – IQ 70
16. Comoros – IQ 71
17. Gambia – IQ 72
18. Togo – IQ 72
19. Lesotho – IQ 72
20. Zambia – IQ 73
21. Malawi – IQ 74
22. Rwanda – IQ 74
23. Senegal – IQ 74
24. Djibouti – IQ 74
25. South Sudan – IQ 74
26. Ethiopia – IQ 75
27. Cameroon – IQ 75
28. Tanzania – IQ 75
29. Uganda – IQ 76
30. Pakistan – IQ 76
(Sources ya taarifa hii: World Population Review, IQ Research Reports)
Kwa mtazamo wa orodha hii, ni wazi kwamba nchi nyingi zilizo na IQ ya chini zinapatikana Africa na Asia. Je, ni kwa nini hali hii ipo zaidi kwenye mabara haya?
- Je, IQ ni kipimo sahihi cha akili au kuna vipimo vingine bora zaidi?
- Je, mifumo ya elimu katika nchi hizi inaweza kuboreshwa ili kuinua viwango vya IQ?
- Je, serikali zinaweza kufanya nini kupunguza pengo hili la akili?
Aisee mada nyeti, lakini ni muhimu tujadili ili kuelewa changamoto zinazokumba nchi hizi na kuona namna ya kuzitatua. Kumbuka, IQ sio kipimo pekee cha mafanikio maishani, lakini inaweza kuathiri maendeleo ya nchi kwa namna fulani.
Wadau wa JF, naomba mawazo yenu! Je, unakubaliana na takwimu hizi? Unadhani kuna sababu nyingine kubwa zinazochangia viwango vya chini vya IQ katika nchi hizi?
Kwa wale wanaopenda research, nawashauri wachimbe zaidi kwenye mada hii, waangalie vyan
zo vya data, na wajaribu kuelewa kwa kina sababu halisi
zinazochangia tofauti za IQ duniani.
Nawakilisha!
Tujadili kwa hoja na kiakili!
weka na vyama vya siasa mimi nataja ccmHabari wadau wa JamiiForums,

😂Mkuu inashida gani na hiki Chamaweka na vyama vya siasa mimi nataja ccm
Hahaha so Putin ndo role model wako? Maisha ya kwnye screen unayaamini? Angekua anaabudu km waafrika tunavyokopi angekua muuaji namna hiyo? Udikteta hauendi kabla ya kwanza kuwapumbuza wafuasi wako kwa imani za kipuuzi wakufuate kama kondoo au siasa za kulazimisha either 1Mkuu kwanini wao wanaendelea kuabudu hadi Leo watu kama kina Putin ni wadau wazuri wa dini unadhani hawalijui hili
HeheheNingeshangaa sana kukosekana kwa Tanzania...
Hawa hata chura wa jangwani wamezidiana tu idara wengine ni timu ya mpira na wengine ni chama ccm😂Mkuu inashida gani na hiki Chama
Ila mkuu chagua kiongozi kwa kutoangalia Chama angalia unaye mchagua anafaa ingawa CCM are doing the worst thing ila Kuna viongozi wazuriHawa hata chura wa jangwani wamezidiana tu idara wengine ni timu ya mpira na wengine ni chama ccm
Ukiwa Tanzania wabongo wanawasifia waganda na wakenya na ukiwa kenya wakenya wanawasifu wabongo na ukiwa Uganda waganda wanawasifu wabbongo
Ukifika Zanzibar wazanzibar wanawasifu wabongo inashangaza
Zanzibar kwa sasa wako juu, huoni wana koloni liitwalo TanganyikaZanzibar ilitakiwa kuongoza tatizo hilo mbona siioni?
😂Si wapo apo auSomalia ilipaswa iwepo hapo, wale watu wa kule kichwani bure kabisa...
chama cha hovyo kabisa ukiishi ulaya ndio utajuaIla mkuu chagua kiongozi kwa kutoangalia Chama angalia unaye mchagua anafaa
😂Si wapo apo au
KwannUkiwa Tanzania wabongo wanawasifia waganda na wakenya na ukiwa kenya wakenya wanawasifu wabongo na ukiwa Uganda waganda wanawasifu wabbongo
Ukifika Zanzibar wazanzibar wanawasifu wabongo inashangaza
Inaonekana waafrica hawajikubaali