Tukiachana na demokrasia, turudi kwenye machifu wa kikabila. Kila kabila na eneo lake na hivyo Kila kabila na nchi yake. Au unatakaje kwa suala la demokrasia?Ndio maisha yao, mnawaonea wivu? Wekeni ya kwenu ukiacha kabila lako ni kosa la jinai.
Mliacha dini zenu mkafata dini zao, endeleeni na utumwa wa maisha.
Na sasa mnafata demokrasia zao na ustaarab wao.
Nataka muendelee kuteseka na kuendelea kuwa watumwaTukiachana na demokrasia, turudi kwenye machifu wa kikabila. Kila kabila na eneo lake na hivyo Kila kabila na nchi yake. Au unatakaje kwa suala la demokrasia?
Duh,Zote ni nchi za Kiislamu zenye Sheria kali sana ikiwemo kifo au kifungo cha maisha kwa watu watakaohesabiwa kuachana na dini/ kukengeuka/ kuritadi .
1. Saudi Arabia
2. Iran
3. Qatar
4. UAE
5. Afghanistan
6. Mauritania
7. Yemen
8. Brunei
9. Maldives
10. Pakistan
11. Somalia
12. Malysia
2:256 Al Qur’anMfumo wa kulazimisha raia Waislamu kubaki kuwa Waislamu siku zote hata kama wakigundua dini yao ni hadithi za kutungwa au haina tija yoyote?
Mbona Hapo Zenji wanazuia watu wa dini tofauti kujenga nyumba zao za ibada??2:256 Al Qur’an
Hakuna sehemu uislam unalazimisha mtu kuingia kwenye uislam
Ukiona mtu analazimisha mwengine kuingia kwenye uislam ujue anaenda kinyume na Qur’an aya hio hapo juu
Sasa muislam gani anaelazimisha wengine kua waislam na akiwalazimisha anakua anatumia kigezo gani???
Hata wenyewe hawayapendi ndio maana kila siku wanazamia kwa mabeberuNdio maisha yao, mnawaonea wivu? Wekeni ya kwenu ukiacha kabila lako ni kosa la jinai.
Mliacha dini zenu mkafata dini zao, endeleeni na utumwa wa maisha.
Na sasa mnafata demokrasia zao na ustaarab wao.
Kwani zenj ndio nani mbele ya Qur’an ambayo ndio muongozo wa huo uislamMbona Hapo Zenji wanazuia watu wa dini tofauti kujenga nyumba zao za ibada??
View: https://youtube.com/shorts/Gh34U30vi5Q?si=zQsfUVPK2PD6RYFZ
Kweli kwasababu hao washenzi ndio walovamia nchi zao na kuziharibu ulitaka wakimbilie tanzaniaHata wenyewe hawayapendi ndio maana kila siku wanazamia kwa mabeberu
Kobaz wote wangewaza kama wewe mizozo mingi ingeepukikaKwani zenj ndio nani mbele ya Qur’an ambayo ndio muongozo wa huo uislam
S a w alikuta masinagogi madina huko mbona hakuzuia watu kuabudu wala kuvunja
S a w aliekeana mpaka mikataba ya kuwalinda wasiokua waislam ili wafanye ibada zao
Acheni kukurupuka
Ishu wala sio kobaz wala uislam ishu ni watu wanaotumiwa kuuchafua uislam ambao sio waislamKobaz wote wangewaza kama wewe mizozo mingi ingeepukika