Nchi gani hapa Afrika Mashariki ni bora kwa kuanzisha maisha?

Nchi gani hapa Afrika Mashariki ni bora kwa kuanzisha maisha?

Nenda popote ila epuka kuishi hizi nchi, Tanzania, Uganda, burundi, Congo, Msumbiji, Zimbabwe.
Nchi ikishakosa uongozi mzuri automatic hata fursa kwa wageni kuzifaidi huwa ngumu.

Ewe raia kama unao uwezo wa kusepa hii nchi we sepa ikiwezekana kusanya na nduguzo muondoke
Inachekesha kama mnategemea hao waliopo wawape maendeleo
 
Back
Top Bottom