Nchi gani nje ya Afrika ni rahisi kwa kijana mpambanaji kufanikiwa?

Nchi gani nje ya Afrika ni rahisi kwa kijana mpambanaji kufanikiwa?

Mi nahisi Qatar pia Kuna fursa, kama Kuna mtu amewahi kupita pale Hamad international Airport atakubaliana na mimi, jirani zetu wakenya ndio wametawala ule uwanja yani wameajiriwa kwa wingi sanaa ila sijawahi kuona mtanzania
Sasa kama wakenya wapo means hata sisi tuna uwezo wa kuwepo. Karibu kufatilia kwa undani unaweza kupata mwanga
Wakenya njaa kwao hakuna fursa
 
Back
Top Bottom