Nchi gani nzuri ya kwenda kupumzika na kula raha za dunia

Naona bosi wako kakupendelea kwa mapenzi sasa kama ni hivyo naona Italy itakufaa sana au Cuba, Florida au Thailand naona hizo zitakufaa sana

Au kama ni likizo ndefu mkatalii dunia kwa meli P&O itawafaa pia
Lakini wife wake akijua umekwisha
 
Nenda netherlands/uholanzi nasikia kuna mtaa una totozi huko balaa!!
 
nilikua as guest tu mkuu!vip kiongozi wangu
Kiongozi wangu kwa elimu kidogo tu ya undercover detective niliyonayo mkuu wewe hukuwa guest tu mkuu wangu.

Kama umekataa kuisema ID yako ya zamani mkuu wangu ni sawa maana ni privacy yako.

Nilitaka ku settle mambo tu nisije nikatongoza tena ambapo nilishapigwa kibuti. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
😀😀😀 halahala kaka!watch out! ukute tunapee wote tumesimama ! lahaulaa
 
Back
Top Bottom