Nchi hii imepitia madhira makubwa sana. Eti na hawa ni viongozi wa dini

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Kanisa la TAG wakitafuta kupendwa na Magufuli enzi hizo. Ujinga mtupu , eti nao ni Maaskofu.
Leo Malasusa na Pengo eti shatani Musiba asamehewe! Rubbish!

1682835815857.jpeg
 
Sikiliza, maaskofu waliupenda sana utawala wa JPM na ni chaguo la wengi. Waliokuwa wanamchafua ni hawa wanaodai pesa nyingi, na Musiba aliwapinga. Kosa la Musiba ni kupinga na sio kumchafua mtu. Hukumu ni ya kisiasa haiendani na taaluma ya kisheria.
 
Eeeeh rest plz, hii single ya Musiba tumeichoka.Musiba ni Mwanaume atajipambania.
 
Hata wakikosea namna gani, lakini kuwstukana ama kuwadhalilisha maaskofu au masheikh ni kujipelekea moto mwenyewe.

Waache watahukumiwa na kuumbuliwa na Mungu.
 
Sikiliza, maaskofu waliupenda sana utawala wa JPM na ni chaguo la wengi. Waliokuwa wanamchafua ni hawa wanaodai pesa nyingi, na Musiba aliwapinga. Kosa la Musiba ni kupinga na sio kumchafua mtu. Hukumu ni ya kisiasa haiendani na taaluma ya kisheria.
Alitunyima ajira nchi nzima ikawa vilio kila Kona. Nakumbuka Kuna kipindi alitanagaza nafasi za ualimu elfu 13 lakini walioajiriwa hawazidi elfu moja wengine akajazia walioko kwenyea ajira ili kuihadaa jamii kuwa kaajiri. Huyu bwana alikuwa anaongiza nchi kwa fix nyingi sana.

Ajira ndo maisha lakini yeye alikuwa anaona mdaraja ndo maisha. Mungu fundi
 
Umeajiriwa wapi siku hizi?
 
Sikiliza, maaskofu waliupenda sana utawala wa JPM na ni chaguo la wengi. Waliokuwa wanamchafua ni hawa wanaodai pesa nyingi, na Musiba aliwapinga. Kosa la Musiba ni kupinga na sio kumchafua mtu. Hukumu ni ya kisiasa haiendani na taaluma ya kisheria.
Chaguo la wengi wapi?. Uchaguzi wenyewe kashinda kwa goli la mkono. Tofautisha ukweli na unafiki, watanzania kuwafahamu inahitaji sionharaka.
 
Sikiliza, maaskofu waliupenda sana utawala wa JPM na ni chaguo la wengi. Waliokuwa wanamchafua ni hawa wanaodai pesa nyingi, na Musiba aliwapinga. Kosa la Musiba ni kupinga na sio kumchafua mtu. Hukumu ni ya kisiasa haiendani na taaluma ya kisheria.
Acha kuweweseka mwambie musiba alipe pesa za membe mwehu wewe hukumu ya kisiasa ipo wapii pale
 
Back
Top Bottom