Hizi blah blah zenu hazitowasaidia, mnazidi kupoteza muda tu. Anzeni harambee mkomboeni mwenzenuSikiliza, maaskofu waliupenda sana utawala wa JPM na ni chaguo la wengi. Waliokuwa wanamchafua ni hawa wanaodai pesa nyingi, na Musiba aliwapinga. Kosa la Musiba ni kupinga na sio kumchafua mtu. Hukumu ni ya kisiasa haiendani na taaluma ya kisheria.
Sio kweli.Hata wakikosea namna gani, lakini kuwstukana ama kuwadhalilisha maaskofu au masheikh ni kujipelekea moto mwenyewe.
Waache watahukumiwa na kuumbuliwa na Mungu.
Tena lilikufa kifo dhalili kabisaKwa lipi?. Kwa kupiga watu risasi?. Bora aliondoka.
Kwahiyo hukumu ya mahakama ni batili?Sikiliza, maaskofu waliupenda sana utawala wa JPM na ni chaguo la wengi. Waliokuwa wanamchafua ni hawa wanaodai pesa nyingi, na Musiba aliwapinga. Kosa la Musiba ni kupinga na sio kumchafua mtu. Hukumu ni ya kisiasa haiendani na taaluma ya kisheria.
Alikufa yeyeJPM tena? Embu acheni wehu wenu wazee majizimajizi!
Huyu ambaye uchumi wetu uliendelea kuwa imara hata wakati wa janga tofauti na waliojifungia?
Fanya alikosea! Mbona haujakufa na kolona wewe?
Asante Mungu.Bora aliondoka.
Alitunyima ajira nchi nzima ikawa vilio kila Kona. Nakumbuka Kuna kipindi alitanagaza nafasi za ualimu elfu 13 lakini walioajiriwa hawazidi elfu moja wengine akajazia walioko kwenyea ajira ili kuihadaa jamii kuwa kaajiri. Huyu bwana alikuwa anaongiza nchi kwa fix nyingi sana.
Ajira ndo maisha lakini yeye alikuwa anaona mdaraja ndo maisha. Mungu fundi
Yes and/or noWewe ni mwalimu?
Stop that believes, hao ni watu TU kama wewe. Wakifanya mavi wanavikwa mavi! Full stopHata wakikosea namna gani, lakini kuwstukana ama kuwadhalilisha maaskofu au masheikh ni kujipelekea moto mwenyewe.
Waache watahukumiwa na kuumbuliwa na Mungu.
Elewa swali.!Na Samia ambapo kwa Sasa ajira zimetapakaa kila Kona. Samia na jk ndo wanajari utu was mtu. Kwa jk ajira zilikuwa kila Kona mpaka jeshi hukutukiwa eti upite jkt kama ilivyoanzishwa na jpm ilimradi tu ukate tamaa.
kwani taaluma ya kisheria kwa kosa la kuwachafua watu hukumu inakuwaje?usijekuwa unaimba kama kasuku wakati hata sheria yenyewe huijui.Sikiliza, maaskofu waliupenda sana utawala wa JPM na ni chaguo la wengi. Waliokuwa wanamchafua ni hawa wanaodai pesa nyingi, na Musiba aliwapinga. Kosa la Musiba ni kupinga na sio kumchafua mtu. Hukumu ni ya kisiasa haiendani na taaluma ya kisheria.