Nchi hii inaitaji kuongozwa na Critical Thinkers, watu wa PhD in Sociology with philosophy Amkeni.

PLATO_

Senior Member
Joined
Jan 25, 2020
Posts
116
Reaction score
230
Watu mliosoma Sociology Tafiti zinaonesha nyie ni watu wa kurizika sana ndo maana PhD ni chache mno za Sociology with philosophy.

Nchi inahitaji kuongozwa na wanasosholojia matokeo yake mnaacha wachumi wanatuongozea nchi

Wachumi wanajua nini kuhusu Jamii? Hawaelewi kitu kuhusu nature of human ndio maana kila kukicha Wanawapa kesi wapinzani wao, kwa sababu hawaelewi kitu kuhusu Human nature.

Democracy ambayo Pericles kiongozi wa zamani wa Athens (461-429BC) aliitengeneza na legacy alliyoiacha mpaka leo hatuwez kuiona kama wagombea wanaosimamishwa sio wanafalsafa.

PLATO kwenye kitabu chake Cha Republic, anapozungumzia kijiji cha UTOPIAN anasuggest kiongozi mkuu anatakiwa kuwa mwanafalsafa Mtu anayethink beyond reality, mtu anayechambua mambo kwa kina mtu anayetafakari kwa kina akitaka kutatua tatizo.

Wanasosiolojia mmeacha maengineers watuongozee nchi ndo hao badala waje na mikakati ya ndani tunafanyaje SGR isimame bila kuomba msaada, ndo hao Wanaiomba China.

Tunahitaji critical thinkers watuongozee nchii, watu wa Sociology na Philosophy amkeni jamani.

Au mnataka mpaka mm nije kuwa raisi 2045?😂
 
MTU mwenye uwezo wa Kuwa na uwezo huo nadhani wengi hatupendelei kukaa sehemu ya uongo na kuumiza kwakuwa uongozwa na hekima kuliko mambo ya nje.

Natamani kuona Taifa linakuwa na hazina kubwa ya great thinkers ambao watakaa mbali na siasa na kuisaidia nchi .
 
Au mnataka mpaka mm nije kuwa raisi 2045?[emoji23]

Umesema kweli kabisa
 
This is blind argument.
 
The Importance of Sociology to Society (1219 Words)

by Puja Mondal Sociology

This article provides information about the importance of sociology to society!

The most significance of sociology is that it studied the society social institutions scientifically. Of late the importance of sociology as the science of human relationship is being realised. The scientific study of society and the scientific promotion of human welfare has been neglected for long periods. Now the truly scientific study of society has been well under way.

As a matter of fact the study of social phenomena and ways and means of promoting what Giddings calls human adequacy is one of the most logical and reasonable of all subjects that ought to be made scientific. This century must be one of developing human and social welfare if we are to make social progress. It is, therefore, rightly thought by many that sociology may be the best approach to all the social sciences and therefore a key study for the present situation.

As Beach says, sociology has a strong appeal to all types of minds through its direct bearing upon many of the critical problems of the present world. Giddings has suggested that just as economics tells up how to get the things we want to have, sociology tells us how to become what we want to be. Thus, sociology becomes as the scientific study of society, the representative of a great advice.

Society is the largest organisation of the individuals. Society has its own problems in every field. It is through the study of sociology that the scientific study of society has been possible. The study of society not only has a value in modern complex society, it becomes indispensable.

The study of society contributes to the formulation of social policies which required certain amount of knowledge about that society. Descriptive sociology provides a great deal of information that is helpful in making decisions on social policy.

In India, the solution of the problem of extreme poverty requires from the sociologists primarily an investigation of the facts such researches undoubtedly influence social policy. If the society is to develop and prosper, the study of society is must for politicians, administrators, social reformers, students and teachers.

The practical aspect of sociology is too of great importance in the study of social problems and in social work and social adjustment. The one social problem is of course that of people living well and happily together. To achieve this a scientific study of society is needed in order to make necessary adjustments.

Another specific aspect of the practical side of sociology is the study of the great social institutions and the relation of the individual to each of them. There is, therefore, a particular need for the strengthening of these institutions and one of the first essentials is the scientific study of their problems and situations. Sociology has analysed the causes of the many maladies of society and suggested the means for curing them. Society is a complex structure. There must be a scientific study of its problems if they are to be solved.

One of the most important aspects and one of the greatest opportunities of sociology is that of making scientific enquiries into the questions of social concern. It ought to be clear that social evils do not just happen and everything has its due cause. It ought to be clear that the world has gone on too long determining its social policies on unsound basis and with insufficient knowledge.

To begin the study of social problems through the method of scientific research, therefore, offers an important task to students everywhere. The aim of the sociologist is to study human society and its institutions with the dispassionate objectivity of an entomologist studying insects.

Sociology teaches every member of every association as to how they can progress in their life through mutual cooperation. The association must renounce their negative attitude towards others so as to progress in their life. Sociology with its widespread subject matter keeps enough ways and means to set everything in right direction.

Family is the leading organisation of the humanity that the first school and first world for a child. Like society; the family organisation has also its own problems .Various elements revolving around the family present a great problem for the sociologists and social reformers. Such problems as what should be the mode system age of marriage? What should be the mode of divorce and separation? What should be the relationship between wife and husband etc.

These problems must be viewed not through the opinions of the social reformers or sociologist but also from scientific angle.

There is the intellectual value of sociology. It has intellectual consequences for anyone who studies it. The study of sociology helps the individual to understand human society and how social system work. A comparative study of human societies enables us to understand that people in different societies have many different solutions to the universal human problems of making a living.

Sociology makes a reader up-to-date to various social predicaments. Sociology makes a reader up-to date in his feelings and also guides an individual how to stroll along with the society. Thus the, study of sociology keeps its reserved place in the life of individual since it contains various information’s for him. Sociology is also important for individuals because it throws light on the problems of the individuals.

Sociology is popular as a teaching subject. It is being accorded an important place in the colleges and universities. The importance of sociology is further provided by the fact that the subject of sociology is also included in engineering, agriculture and other branches. Without the study of sociology the training and knowledge of the candidates aspiring to hold high post in the administrative set up of their country will be incomplete and imperfect.

Sociologists, especially those trained in research procedures, are in increasing demand in Government, industry, town planning social work, communication administration and other areas of community life. Although teaching, especially in colleges and universities, will always draw sociologist, sociology has now become ‘practical’ enough to be practised outside the academic halls. Careers apart from teaching are now possible in sociology.

The various areas of applied sociology, in short , are coming more and more into prominence on local, State, national and international levels.

Sociology assumes significance in the study of international problems. The world which was seen as a living place spotted by the nations and classes living in isolation have become unified living society of humanity. But if we take up the social and cultural aspects, we find the humanity at the same age-old level of barbarism. Nations fight with each other with more fiery instruments of modern warfare. Countries propagate against each other to acquire narrow goals. It is in this context the study of sociology becomes important.

The value of sociology lies in the fact that it keeps us up-to-date on modern situations, it contributes to making good citizens, it contributes to the solution of community problems, it adds to the knowledge of society, it helps the individual find his relation to society, it identifies good Government with community, it helps one to understand causes of things and so on. Sociology has practical value for the individual as it assists him to understand himself, his resources and limitations, his potentialities and his role in society.
 
Hii nchi ilipo fikia na upuuzi unao endelea, ilitakiwa iongozwe na dikteta ameizing kichaa mmoja ambae anaamini kufa ni kulala kama mimi..☹️
Yaani kuna ulazima sasa wa kianza kunyonga wezi, mafisadi na wabadhilifu wa mali za uma, na kisha maiti zai zinatandikwa viboko 100 hadharani...🤨
 
Auguste Comte " refer as the father of sociology"
Kwani huyu jamaa alisemaje?
 
Watu mliosoma Sociology Tafiti zinaonesha nyie ni watu wa kurizika sana ndo maana PhD ni chache mno za Sociology with philosophy.

Nchi inahitaji kuongozwa na wanasosholojia matokeo yake mnaacha wachumi wanatuongozea nchi

Wachumi wanajua nini kuhusu Jamii? Hawaelewi kitu kuhusu nature of human ndio maana kila kukicha Wanawapa kesi wapinzani wao, kwa sababu hawaelewi kitu kuhusu Human nature.

Democracy ambayo Pericles kiongozi wa zamani wa Athens (461-429BC) aliitengeneza na legacy alliyoiacha mpaka leo hatuwez kuiona kama wagombea wanaosimamishwa sio wanafalsafa.

PLATO kwenye kitabu chake Cha Republic, anapozungumzia kijiji cha UTOPIAN anasuggest kiongozi mkuu anatakiwa kuwa mwanafalsafa Mtu anayethink beyond reality, mtu anayechambua mambo kwa kina mtu anayetafakari kwa kina akitaka kutatua tatizo.

Wanasosiolojia mmeacha maengineers watuongozee nchi ndo hao badala waje na mikakati ya ndani tunafanyaje SGR isimame bila kuomba msaada, ndo hao Wanaiomba China.

Tunahitaji critical thinkers watuongozee nchii, watu wa Sociology na Philosophy amkeni jamani.

Au mnataka mpaka mm nije kuwa raisi 2045?😂
Watu waliosoma hesabu ndiyo pekee critical thinkers wengine wote walikimbia hesabu baada ya kushindwa kufikiri.
 
MTU mwenye uwezo wa Kuwa na uwezo huo nadhani wengi hatupendelei kukaa sehemu ya uongo na kuumiza kwakuwa uongozwa na hekima kuliko mambo ya nje.

Natamani kuona Taifa linakuwa na hazina kubwa ya great thinkers ambao watakaa mbali na siasa na kuisaidia nchi .
DR, Hekima ndo kitu pekee wanafalsafa walichonacho. Hekimaa hizi ndio zinawafanya wawe watu wa kusocialize.

Mkitususia jamii kwakuwa inaongozwa na uongo (siasa) nani atakuja kuokoa jamii yetu.

Critical thinkers msiwe wabinafsi rudieni jamii yenu.
 
Marekani imeendelea sana haijawahi tawaliwa na Raisi aliyesoma falsafa au sociology
 
Watu waliosoma hesabu ndiyo pekee critical thinkers wengine wote walikimbia hesabu baada ya kushindwa kufikiri.
Ni kweli hisabati mtu anatakiwa kuwa critical thinker hasa hayo masomo mengine ni kupiga Domo tu na vi theory bongi vingi vya vihekima koko
 
Watu mliosoma Sociology Tafiti zinaonesha nyie ni watu wa kurizika sana ndo maana PhD ni chache mno za Sociology with philosophy.

Nchi inahitaji kuongozwa na wanasosholojia matokeo yake mnaacha wachumi wanatuongozea nchi

Wachumi wanajua nini kuhusu Jamii? Hawaelewi kitu kuhusu nature of human ndio maana kila kukicha Wanawapa kesi wapinzani wao, kwa sababu hawaelewi kitu kuhusu Human nature.

Democracy ambayo Pericles kiongozi wa zamani wa Athens (461-429BC) aliitengeneza na legacy alliyoiacha mpaka leo hatuwez kuiona kama wagombea wanaosimamishwa sio wanafalsafa.

PLATO kwenye kitabu chake Cha Republic, anapozungumzia kijiji cha UTOPIAN anasuggest kiongozi mkuu anatakiwa kuwa mwanafalsafa Mtu anayethink beyond reality, mtu anayechambua mambo kwa kina mtu anayetafakari kwa kina akitaka kutatua tatizo.

Wanasosiolojia mmeacha maengineers watuongozee nchi ndo hao badala waje na mikakati ya ndani tunafanyaje SGR isimame bila kuomba msaada, ndo hao Wanaiomba China.

Tunahitaji critical thinkers watuongozee nchii, watu wa Sociology na Philosophy amkeni jamani.

Au mnataka mpaka mm nije kuwa raisi 2045?😂
Socialogy kwakweli ndio akili ndogo kupindukia...Hao hawafai
 
Ujinga mtupu
Kama nyie ndo wasomi Wetu Kuna shida mahali

Msomi Umefanya tafiti umekuja na huu upuuzi

Unajua maana ya critical thinkers??
 
Socialogy kwakweli ndio akili ndogo kupindukia...Hao hawafai
Hapana ni vile tu wanaishia degree ya kwanza. Afu wasomi wengi wa degree ya kwanza wote akili zao ndogo.
Ukikutana na Mtu mwenye PhD ya Sociology with philosophy sio poa kbs
 
Watu waliosoma hesabu ndiyo pekee critical thinkers wengine wote walikimbia hesabu baada ya kushindwa kufikiri.
Ni kweli nao ni critical thinkers kiupande wao. Wao wanathink more about number na jinsi ya kuzisolve.
Ukija kwenye jamii tunahiyaji watu waliosoma scientific study of the society ndio waongoze jamii yetu. Unampaje mtu nafasi ya kukuongoza na kitu pekee anachojua ni namba?

Anyway algebra inakusaidiaje kusocialize na jamii?
 
One who knows maths knows everything.
 
Back
Top Bottom