Nchi hii inaitaji kuongozwa na Critical Thinkers, watu wa PhD in Sociology with philosophy Amkeni.

Nchi hii inaitaji kuongozwa na Critical Thinkers, watu wa PhD in Sociology with philosophy Amkeni.

Marekani imeendelea sana haijawahi tawaliwa na Raisi aliyesoma falsafa au sociology
Ya ni kweli ila ukithink critically utagundua post yng inaucommunism.
Hayo mabepari achana nayo. Sociology ni kozi yenye uwanda mpana sana. Maendeleo ya China licha ya kupata uhuru miaka ya 1940s lakini ni mshindani mkubwa wa Marekani iliyopata uhuru wake miaka ya 1800s.
Hii yote ni kwa sababu China inaongozwa na viongozi wanafalsafa, viongozi wanaoijua historia za uchumi, siasa na tamaduni. China Miradi yake yote huwapa tenda wachina wajenge magorofa, barabara etc.

Njoo kwa viongozi wako, wao wanawaza kukopa pesa China za kuendeleza Mirada alafu bado wanawaajiri wachina hao hao. Unafikiri ww civil engineer utapata kazi lini?

Viongozi wako hawawezi hata kufikiria kuwapeleka vijana training kwaajiri ya Mirada fulani. Wao wanachowaza ni kuwapeleka watoto wao shule waje wakamate nafasi za juu.

Hivi kwa mfano bajeti ikawekwa, watu 50 wakachukuliwa kwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza barabara za treni ya umeme, wakirudi na ujuzi tunahaja ya kuwaajiri wachina tena?
 
Back
Top Bottom