Nchi hii inatia hasira bila kwenda road hakuna kitu kitabadilika

Maandamano 😂😂😂 ngoja nisubiri nione nini kitatokea
Unaweza kujitia una uchungu na nchi ukajikuta Umebaki chambo peke yako barabarani waliokuhamasisha wote wakawa wamekimbia
 
Hakuna anayetegemea watu wa aina yenu kuleta mabadiliko yoyote ndani ya taifa lolote; hata wakati wa kuondoa wakoloni watu wa aina yenu walikuwepo.

Kwa hiyo kaa pembeni; hamuwezi kuzuia mabadiliko ndani ya taifa hili tena.
 
Sawa mpambania mabadiliko mapambano mema
Tatizo lenu mnapanga mipango yenu kwa mihemko na hasira
Nyerere angetumia mihemko na hasira mnazotumia sasa hata uhuru usingepatikana
 
Sasa wewe mchango wako ni upi hasa, mbona hata hiyo isiyokuwa ya mihemko huna; ila upo mbele zaidi kutisha wanaotafuta njia yoyote ya kuondoa takataka hizi.
Tueleweje kama wewe siyo mmoja wa hao takataka wenyewe?

Hata Nyerere hakutegemea watu wa aina yako, maana hata kwenye mikutano mlikuwa hamuendi!
 
Sijifanyi , siwataki na wala siwatetei , nyie kama viongozi tunawahitaji mstari wa mbele wa maandamano
Umeelezwa wapi kuwa hawatakuwepo. Tuonyeshe ulipotoa fikra hizo ni wapi, kuliko kuendelea kupayuka tu!

Kwanza unawajuwa hao viongozi ni akina nani; kama siyo hao hao unaojitia kimbelembele kuwabeza hapa.
Nia yako ipo wazi; kazi yako hapa ni kutia hofu/woga watu ili hao wanaokutuma waendelee kubaki madarakani kwa mabavu.

Mbona wao huwasemi?
Sasa sikiliza, kawaambie kuwa na wao hufa, na watakufa. kawape ujumbe huo badala ya kuja hapa na kutisha waTanzania wanaotafuta njia ya kujinasua.
 
Sawa mpambania mabadiliko mapambano mema
Tatizo lenu mnapanga mipango yenu kwa mihemko na hasira
Nyerere angetumia mihemko na hasira mnazotumia sasa hata uhuru usingepatikana
Naamini siku tutakapoikomboa nchi. Tutaanza kufukunyua hizi ID fake za Jamii forum. Wale wote ambao walikuwa wanatupa vitisho na kutukatisha tamaa katika mapambano haya lazima tuwajue kwa majina halisi na mahali walipo ili wasile mema ya nchi yetu itakayokuwa imeshakombolewa
 
Back
Top Bottom