Nchi hii inatia hasira bila kwenda road hakuna kitu kitabadilika

N ahaka kadada kanachochea nyumbu, huku kenyewe kako kwa kasongo
 
Huu nao ni ujinga.
Sasa wakati unalalamika Ccm kukandamiza demokrasia, wakati huo unawaza ukija uongozi mpya uendelee kukandamizi demokrasia hususani uhuru wa kujieleza.

Stupidizing everything.
 
Una uwezo wa kukomboa nchi wewe.?

Nyerere alidai uhuru lakini leo watu wanamkumbuka mkoloni

Ooh ni Ccm imetufikisha hapa, sawa taja taifa ambalo viongozi wanaishi na kufurahiwa na kila raia.?

Hata wewe kesho ukiwa pale watu wataandamana tu, wasiandame kisa wewe nani
 
Always talk is cheap, watu mnaosema mtatoka ni keyboard fighter Sasa nchi haikombolewi online
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…