Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Ndugai hana uwezo kisheria kuendelea kuwa na covid19 Bungeni. Labda liwe Bunge la Kongwa. Ni aibu kuwa na spika dhaifu asiyeweza kupanga hoja kiasi hiki.
Wakuu hili tatizo mnalichukulia juu juu tu. Tatizo sio Ndugai, Ndugai kama Ndugai anapata wapi jeuri hii ya kukiuka katiba? Ndugai ni mtekelezaji tu. Na kwa maana hii ndio maana ni lazima tuelewe kwamba bunge hili si la wananchi. Ni bunge la hao waliolazimisha kuliweka na kwa maana hio linaendeshwa kwa mujibu wa hao walioliweka na si kwa mujibu wa katiba period!Ndugai hana uwezo kisheria kuendelea kuwa na covid19 Bungeni. Labda liwe Bunge la Kongwa. Ni aibu kuwa na spika dhaifu asiyeweza kupanga hoja kiasi hiki.
Kibaka sasa amekuwa jambazi. Na sasa siku zake 40 zimefika. CCM inakaribia shimo lake. Naona nguvu ya umma kumpigia jambazi kwa mawe haiko mbali. AK 47 ya jambazi haijawahi kumuokoa dhidi ya jiwe mikononi mwao mlala njaa mwenye suruali iliyopasuka. Ndugai, kumbuka bunge si la Kongwa, ni la JMT.Nchi inahitaji kuwa formated, hard disk ime-collapse kabisa. Ni Kama getto la mateja
Ndugai ni sehemu ya tatizo kwa kutumia au kutotumiwa. Kitendo cha wao kujioa immunity last year ilikuwa ni maandalizi ya mambo wanayopanga kuyatekeleza awamu hii toka ile Siku ya uchaguzi.Wakuu hili tatizo mnalichukulia juu juu tu. Tatizo sio Ndugai, Ndugai kama Ndugai anapata wapi jeuri hii ya kukiuka katiba? Ndugai ni mtekelezaji tu. Na kwa maana hii ndio maana ni lazima tuelewe kwamba bunge hili si la wananchi. Ni bunge la hao waliolazimisha kuliweka na kwa maana hio linaendeshwa kwa mujibu wa hao walioliweka na si kwa mujibu wa katiba period!
Nafikiri Mahela naye inabidi wampe immunity kawa walivyojifanyia wao.Nadhani ata uchaguzi wenyewe haukuwa kwa mujibu wa Katiba.Watu walijifungia chumbani na kuchagua watu wao.
Wakuu hili tatizo mnalichukulia juu juu tu. Tatizo sio Ndugai, Ndugai kama Ndugai anapata wapi jeuri hii ya kukiuka katiba? Ndugai ni mtekelezaji tu. Na kwa maana hii ndio maana ni lazima tuelewe kwamba bunge hili si la wananchi. Ni bunge la hao waliolazimisha kuliweka na kwa maana hio linaendeshwa kwa mujibu wa hao walioliweka na si kwa mujibu wa katiba period!
Kibaka sasa amekuwa jambazi. Na sasa siku zake 40 zimefika. CCM inakaribia shimo lake. Naona nguvu ya umma kumpigia jambazi kwa mawe haiko mbali. AK 47 ya jambazi haijawahi kumuokoa dhidi ya jiwe mikononi mwao mlala njaa mwenye suruali iliyopasuka. Ndugai, kumbuka bunge si la Kongwa, ni la JMT.