Nchi hii kuna kitu hakipo sawa. Haiwezekani Katiba ya nchi haiheshimiwi, inakiukwa hovyo hovyo tu!

Nchi hii kuna kitu hakipo sawa. Haiwezekani Katiba ya nchi haiheshimiwi, inakiukwa hovyo hovyo tu!

Mkuu wangu nchi hii wote Kw ujumla wetu tujue sasa kuwa kuna kundi limeajiapia kuharibu Misingi adhimu ya Taifa hili. Kundi hili limeamua kusimika uchafu,kudharau katiba na sheria zetu tulizoziweka kwa mda mrefu sana na zilizotufanya tuheshimiane kama Taifa.

Niseme tu Taifa sasa liko maabara likijaribiwa kama je ligeuzwe liwe Taifa la kidikteta ama la. Hii experiment wale waliojipa Kinga ndiyo wameshika burnsen burner to light the flame.

Wananchi sisi ni chemicals tested if we can react or unreact. Watatest chemicals hizi kama wakiona hazireact watachochochea burnsen burner mpaka chemicals zichange color to red..

Tanzania iko kwenye experiment maabara ya kemia!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Hivi ndugai hana BOSI ?!!! Na Kama anaye, huyo Bosi anasemaje juu y matendo ya ndugai?
 
Wakuu hili tatizo mnalichukulia juu juu tu. Tatizo sio Ndugai, Ndugai kama Ndugai anapata wapi jeuri hii ya kukiuka katiba? Ndugai ni mtekelezaji tu. Na kwa maana hii ndio maana ni lazima tuelewe kwamba bunge hili si la wananchi. Ni bunge la hao waliolazimisha kuliweka na kwa maana hio linaendeshwa kwa mujibu wa hao walioliweka na si kwa mujibu wa katiba period!
Kama mtakumbuka kabla bunge halijafungwa lile kabla ya uchaguzi. Alimshukuru Mukulu kuwa ndy anampa Baraka kufanya sarakasi zote pale uwanjani Bila yeye hawezi kuruka hata sarakasi moja!! Ni aibu nchi hii inageuzwa kama kakiwanja ka mtu mmoja akitak achimbe choo sawa akitaka achimbe shimo la taka sawa!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Mheshimiwa MAGUFULI, sisi tunasifu na kuabudu juhudi zako, tunakuabudu, yaani mpaka wake zetu wanaona wivu, halafu anakuja mtu kutoka Mumatengele anakuja kukuponda, mi nalia jamani, nalia jamani, iiiiiiih iiiiiiih ihhhh[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mkuu nimecheka sana mpaka machoz yametoka kwangu hii ndy koment ya kufungia mwaka huu.
 
Ndugai ni sehemu ya tatizo kwa kutumia au kutotumiwa. Kitendo cha wao kujioa immunity last year ilikuwa ni maandalizi ya mambo wanayopanga kuyatekeleza awamu hii toka ile Siku ya uchaguzi.
Hiyo immunity wanajidanganya tu.. Kwani imeandikwa kwenye msahafu wa dini?!
 
Mkuu nimecheka sana mpaka machoz yametoka kwangu hii ndy koment ya kufungia mwaka huu..

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Nkonyofu ujhu aka na mahala, abhatukile abha bhikutupa i ndalaha, bhakalele.
 
Nkonyofu ujhu aka na mahala, abhatukile abha bhikutupa i ndalaha, bhakalele.
Kikolo abhakanyammoto bhalipakunia amafyi ndubhingilo lwa Tata gwitu Nyerere. Bhatile bharisye mpaka bhaghe twesa tulwalwe ubwakumwanya!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Yote haya yameletwa na maccm kusukumiza washamba na malimbukeni .
 
Nichukue fursa hii kuwaambia watanzania kwamba huenda future yetu si nzuri sana. Hii ni kwa tafsiri ya kwamba pasipo na haki popote amani haiwezi kupatikana. Kama ipo amani ni ya kulazimisha tu kwa maana ya uvumilivu...
Ndugai ni mtu hatari sana kama alivyo bosi wake
 
Wanaikanyanga katiba na kuigeuzageuza kama chapati, si wana kinga ya kutokushitakiwa sasa kuna nini cha zaidi, ni KUKANYAGA TU.
 
Hivi tunashindwa nini kuwaloga wafe? Let us make sure they perish. That's the only solution. Maana wanayoyafanya ni wapo juu ya Katiba. In short JPM ndo katiba kwa sasa. Yaani analolisema yeye ndo katiba.
 
Nchi ina vijana wa kulia lia wakiambiwa tukaandamane kumbe bado wapo chini ya himaya za mama zao hata kura hawakupiga!
Unataka kusema nini ndugu? Naona hata wewe yamekaribia kukufika. Iko siku tutaimba wimbo mmoja na tena sio wimbo mpya
 
Back
Top Bottom