storyteller
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 1,544
- 1,874
Mkuu hii itafikia wakati hakutakua na namna ya kucontrol lolote mzee.... na watu wenye nafasi zao wamekaa kimya tu haya madudu yanendelea..
Hata akina John leo nyie ni wakushangaa mambo haya,Basi kuna kitu hakiko sawa mahali fulani.Inasikitisha na kuogopesha na kuhuzunisha
Tundu Lissu akiamua kudai haki kwinginepo mazuzu yanalalamikaWakuu hili tatizo mnalichukulia juu juu tu. Tatizo sio Ndugai, Ndugai kama Ndugai anapata wapi jeuri hii ya kukiuka katiba? Ndugai ni mtekelezaji tu. Na kwa maana hii ndio maana ni lazima tuelewe kwamba bunge hili si la wananchi. Ni bunge la hao waliolazimisha kuliweka na kwa maana hio linaendeshwa kwa mujibu wa hao walioliweka na si kwa mujibu wa katiba period!
Hilo tatizo la vijana kulialia limetokana na nini?Nikitizama kwa jicho pevu nagundua vijana wametishwa,wamenyimwa fursa ya ajira labda waunga mkono juhudi,pia wanajzwa hofu ya kuvunjwa miguu/kuwekwa rumande bila dhamana hata Siku 133...Uvunjifu wa sheria nchi hii ulikofikia hata Mimi siwashangai vija/Wananchi kutokuandamana.Nchi ina vijana wa kulia lia wakiambiwa tukaandamane kumbe bado wapo chini ya himaya za mama zao hata kura hawakupiga!
Hilo tatizo la vijana kulialia limetokana na nini?Nikitizama kwa jicho pevu nagundua vijana wametishwa,wamenyimwa fursa ya ajira labda waunga mkono juhudi,pia wanajzwa hofu ya kuvunjwa miguu/kuwekwa rumande bila dhamana hata Siku 133...Uvunjifu wa sheria nchi hii ulikofikia hata Mimi siwashangai vija/Wananchi kutokuandamana...
Unataka kusema nini ndugu? Naona hata wewe yamekaribia kukufika. Iko siku tutaimba wimbo mmoja na tena sio wimbo mpya
Hivi tunashindwa nini kuwaloga wafe ?Let us make sure they perish. That's the only solution. Maana wanayoyafanya ni wapo juu ya Katiba. In short JPM ndo katiba kwa sasa. Yaani analolisema yeye ndo katiba.
CC: Lumumba Buku 7Inasikitisha na kuogopesha na kuhuzunisha
KumekuchaHii katiba iliwekwa kapuni zamani Sana.Ndugai na jpm ndo wanaongoza kuvunja katiba
Nafikiri Mahela naye iHili Jambo Watalifanya Tu Ccm!!nabidi wampe immunity kawa walivyojifanyia wao.
Haya uliyoyaandika hapa ni ww kweli?Inasikitisha na kuogopesha na kuhuzunisha
Hata Magufuli akikohoa tu unapelekeshwa sembuse mihemko.Mimi sipelekwi na mihemko!
Jamani nawaambieni sio kwa nchi hiiNdugai hana uwezo kisheria kuendelea kuwa na covid19 Bungeni. Labda liwe Bunge la Kongwa. Ni aibu kuwa na spika dhaifu asiyeweza kupanga hoja kiasi hiki.