mkulima gwakikolo
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 1,767
- 2,858
Kama mtakumbuka kabla bunge halijafungwa lile kabla ya uchaguzi. Alimshukuru Mukulu kuwa ndy anampa Baraka kufanya sarakasi zote pale uwanjani Bila yeye hawezi kuruka hata sarakasi moja!! Ni aibu nchi hii inageuzwa kama kakiwanja ka mtu mmoja akitak achimbe choo sawa akitaka achimbe shimo la taka sawa!!!Wakuu hili tatizo mnalichukulia juu juu tu. Tatizo sio Ndugai, Ndugai kama Ndugai anapata wapi jeuri hii ya kukiuka katiba? Ndugai ni mtekelezaji tu. Na kwa maana hii ndio maana ni lazima tuelewe kwamba bunge hili si la wananchi. Ni bunge la hao waliolazimisha kuliweka na kwa maana hio linaendeshwa kwa mujibu wa hao walioliweka na si kwa mujibu wa katiba period!
Mkuu nimecheka sana mpaka machoz yametoka kwangu hii ndy koment ya kufungia mwaka huu.Mheshimiwa MAGUFULI, sisi tunasifu na kuabudu juhudi zako, tunakuabudu, yaani mpaka wake zetu wanaona wivu, halafu anakuja mtu kutoka Mumatengele anakuja kukuponda, mi nalia jamani, nalia jamani, iiiiiiih iiiiiiih ihhhh[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hiyo immunity wanajidanganya tu.. Kwani imeandikwa kwenye msahafu wa dini?!Ndugai ni sehemu ya tatizo kwa kutumia au kutotumiwa. Kitendo cha wao kujioa immunity last year ilikuwa ni maandalizi ya mambo wanayopanga kuyatekeleza awamu hii toka ile Siku ya uchaguzi.
Kwani haki inapatikana kwa kuandamana pekee?Nchi ina vijana wa kulia lia wakiambiwa tukaandamane kumbe bado wapo chini ya himaya za mama zao hata kura hawakupiga!
Kwani haki inapatikana kwa kuandamana pekee?
Much love mkuu, acha tucheke tuMkuu nimecheka sana mpaka machoz yametoka kwangu hii ndy koment ya kufungia mwaka huu..
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Nkonyofu ujhu aka na mahala, abhatukile abha bhikutupa i ndalaha, bhakalele.Mkuu nimecheka sana mpaka machoz yametoka kwangu hii ndy koment ya kufungia mwaka huu..
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Kikolo abhakanyammoto bhalipakunia amafyi ndubhingilo lwa Tata gwitu Nyerere. Bhatile bharisye mpaka bhaghe twesa tulwalwe ubwakumwanya!!Nkonyofu ujhu aka na mahala, abhatukile abha bhikutupa i ndalaha, bhakalele.
Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)
Habari za asubuhi wakuu, Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya Demokrasia. Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja Demokrasia kwa...www.jamiiforums.com
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sio kitu hakipo sawa, sema kuna watu hawako sawa kichwani.
Ndugai ni mtu hatari sana kama alivyo bosi wakeNichukue fursa hii kuwaambia watanzania kwamba huenda future yetu si nzuri sana. Hii ni kwa tafsiri ya kwamba pasipo na haki popote amani haiwezi kupatikana. Kama ipo amani ni ya kulazimisha tu kwa maana ya uvumilivu...
Na Ndugai ndiyo sheriaKatiba ni Magu na Magu ndio Katiba
Unataka kusema nini ndugu? Naona hata wewe yamekaribia kukufika. Iko siku tutaimba wimbo mmoja na tena sio wimbo mpyaNchi ina vijana wa kulia lia wakiambiwa tukaandamane kumbe bado wapo chini ya himaya za mama zao hata kura hawakupiga!
Hakana aliye tayari kufa, hata kulia lia ni huku mitandaoni, ukikutana na anayelia lia live akapewa nafasi ya kuzungumza na spika atamsifu.Nchi ina vijana wa kulia lia wakiambiwa tukaandamane kumbe bado wapo chini ya himaya za mama zao hata kura hawakupiga!