Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Nimeangalia matokeo ya form six nimeshangaa kuona idadi ya shule za A level ni 610 tu nchi nzima. Kama nakumbuka vizuri, shule za O level zaidi ya 3,000. Na nyingi ya hizo shule za A level zinawanafunzi wa Olevel pia, hivyo siyo kuwa shule yote inatumika kufundisha A level.
Kwa data hizo, inaonyesha kuwa Shule za A level zinaweza chukua 20% tu ya watu wanaomaliza O level. Nchi haiwezi kuwa ya kisomi kwa takwimu hizo.
Ingefaa tuwe na kampeni nchi nzima ya kujenga shule za A level nchi nzima, hasa zile za michepuo ya sayansi. Kila wilaya ijenge Shule mbili za A level.
Mikoa mitatu yenye shule nyingi za A level za wanafunzi zaidi ya 30 ni
1. Klimanjaro, 53
2. Dar es salaam, 44
3. Mbeya, 40.