Pesa ni muhimu sanaaa,,, lakini tumetafsiri vibaya matokeo ya elimu iwe sawa na pesa tu,,, ( na aina ya jamii tunayoishi imechangia)
Ila madhumuni makubwa ya elimu ni kumfanya mwanadamu aweze ku interact na mazingira yake in different ways and moja ya interaction hyo is doing something for someone ili uwe paid using knowledge kuhusu mazingira
Kwa sababu ya umasikini tume ditch purpose zingine za elimu and the major one ikawa pesa because that's what is important to us now
mfano watu ambao wana PhD ya theoretical physics understand how the universe works it's their magical moment kwenye elimu,,
But sie masikini getting money kutokana na elimu yetu its our magical moment so we differ in our perception about what education must do for us,, lakini our perception zisiwe limit in our mind kuwa this is how education must be