Nchi hii shule za A level ni chache sana. Kuwe na kampeni ya kujenga shule hizo

Then interacting with the environment umeiweka in a lowest level bhana,, for example a neurobiologist na ww tukiwaweka sehemu muangalie specimen ya ubongo, then mtoe report naamini yeye atakuwa na a very interesting report kuliko ww ( no offense though)
Hii level nayenyew ni interaction na mazingira
 
Ukielewa umuhimu wa pesa katika maisha tulionayo huwezi kuuliza swali lan namna hii
Jamaa ananiangusha mno.
Anasahau hata maprofessor wamekimbilia siasa na wanajitoa ufahamu kwa ajili ya pesa[emoji4]
 
Jamaa ananiangusha mno.
Anasahau hata maprofessor wamekimbilia siasa na wanajitoa ufahamu kwa ajili ya pesa[emoji4]
Proffesor mwenyewe akipata line harembi ni fasta anaingia mchezoni 😅😅😅
 
Hizo ndio elimu za kukaririshana notes zishapitwa na wakati.

Tangu hatujapata Uhuru,
Watanzania wamesoma izo izo elimu zenu, ila ubunifu bado Ni sifuri.

Ukitaka uone upuuzi wa hizo elimu zenu za advance,
Nenda Kwenye maonyesho ya sabasaba au Nanenane.

Tembelea mabanda ya VETA au DIT au ATC uangalie ubunifu.

Kisha nenda Banda la Mzumbe au UDOM au UDSM ukaone ubunifu wao.

[emoji23][emoji23][emoji23] Yaani Ni vituko vitupu.
 
Kasahau Kama wenzetu China,
Iyo elimu ya advance walishaachana nayo Miaka mingi mno.
Huku tunajifanya tunajua elimu wakati hatuishi kulalamika juu ya wadogo zetu walioua vyuo vikuu na wapo maskani wanalala na kuamka
 
Watu wanajiropokea ropokea tu humu..high school hadi nchi hizo zilizoendelea ipo..
 
A level ni marudio ya O level, mtoto anaweza maliza O level na akaingia chuo moja kwa moja na kufanya vizuri sana.

Walio anzisha A level sijui waliwaza ninibut ni kupoteza muda na pesa tu
Unaijua Organic Chemistry ya Advance?..
 
Una kesi ya kumpiga jamaa na nyundo kichwani
 
A level ni muhimu sana, tena sana. Ni ngumu sana mtu kutoka Olevel kisha ukampeleka kusoma MD au Bpharm, au Engeneering. Utazalisha wasomi vilaza haijawahi kutokea.

Hoja mufilisi hiyo, watu wanapitia Diploma kufikia hizo unazoita Degree.
 
Elimu ya form six ni kwa ajili ya watu maalum wanaotengenezwa kwa ajili ya mambo maalum na ndio maana shule zake zipo chache
 
Kwani shughuli ya kuwamaliza na kuwafuta wapinzani tumeimaliza hadi tuanze kujenga mashule ya ALEVEL???
 
A level ni muhimu sana, tena sana. Ni ngumu sana mtu kutoka Olevel kisha ukampeleka kusoma MD au Bpharm, au Engeneering. Utazalisha wasomi vilaza haijawahi kutokea.
I agree with you A level ni muhimu sana katika stage ya elimu kupitia A level niliweza kusoma masomo kwa upana na uwanda mkubwa na nikaelewa Mambo mengi hata kwenda chuoni sikupata shida ka waliounga elimu ka gundi. In short kila stage kwenye elimu Ina umuhimu wake A level inampa mwongozo mtu anayetaka Anza kusoma bachelor
 
Ndo maana hukwenda advance,, watu tunazungumzia ambacho aim number 6 ya mtaala wenu wa elimu inayolingana na aim number 2 ya mtaala wa elimu wa finland

Wewe unazungumzia aim number 7 ya mtaala wenu wa elimu,, huoni unajiaibisha,, hujui what is what,, unalazimisha kujibu Z kwa A ,,, so sie tunaotaka kusoma theoretical physics tusisome eti kwa sababu haina soko tanzania
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Wenye akili zilizojaa makamasi utawaona tu
 
Yaani hii mathematics ambayo watoto wa O-level wanafurukuta kupata angalau D, lakini bado wengi wao wakiishia kupata F useme ni marudio kwa A-level ambako Kuna integration ambayo ni habari mpya kwa mwanafunzi wa O-level, acheni utani watanzania!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…