Ulaya mahindi ni chakula cha ng’ombe weweMasoko gani? Hakuna mtu atauza mahindi Ulaya yenye sumu kuvu na machafu..tukuze sekta ya kilimo.ili mahindi yapate soko..
Kama Michele unasuasua sembuse mahindi?
Ubongo wako upo hai kweli?? leo mafuta yapo juu kwa hiyo alime leo kesho avune au auze??
View attachment 1937793Ubongo wako upo hai kweli?? leo mafuta yapo juu kwa hiyo alime leo kesho avune au auze??
😂😂😂Matumizi mabaya ya pesa,wanunue afu wapeleke wapi hayo mahindi?
Hamna ajira shule hailipi sikuhizi ila wapuuzi wamekazana kujenga madarasa badala ya kutengeneza sera nzuri za vijana kujitegemea na kuwawezesha!Hata wakienda vyuo vikuu ni Kazi bure,hii nchi imekaririsha watu kuajiriwa na mbaya zaidi kwenye soko la ndani tuu hakuna mtu anawaza soko la nje wala biashara
Ndio nilikuwa nawaambia hapo watu kwamba mahindi sio chakula cha binadamu ni kwa ajili ya ng'ombe na nguruwe..Ulaya mahindi ni chakula cha ng’ombe wewe
Tunatoa lawama kwa sababu watoto wakikosa nafasi watafanya nini?Hamna ajira shule hailipi sikuhizi ila wapuuzi wamekazana kujenga madarasa badala ya kutengeneza sera nzuri za vijana kujitegemea na kuwawezesha!
Wanapoongeza madarasa watengeneze na mazingira ya hao wanafunzi kujitegemea baada ya shule!
Simu yng haiwezi kufungua hiyo attachment, nifikishie ujumbe wako kwa namna nyingine.
Mtoa mada utafikir umeniona na mm maana nipo kitandani najiwazia yale mahindi yangu ya gobo jinsi vijana wanavyo nidengulia bei, dah, yaani muhindi nimeutunza wananiambia wananunua kwa 180 kwa hindi.Kuna kitu kinakula moyo wangu I finally must vent out.
1. Nimevuna gunia 200 baada ya kulima ekari 20 za mahindi nataka kupeleka sokoni bei ya gunia tshs elfu 30, so nitapata million sita nikiuza yote. Kweli jamani this is too much. The leadership is seriously imposing new tax? Mnashindwa kuadress market challenges kwa watu million 45 walioko Shamba? Really????
2. Kuna influx ya vyuo Vya afya now than ever before. Ni mwendo Wa lab technician's, nursing, pharmacy, medical assistance courses etc. Nimeproject in 5 years to come tutakuwa na mrundikano Wa wataalamu Wa afya kuliko kawaida watakaokuwa hawaajiliki. Utapeli utaanza, kila chumba kitakuwa hospital bubu, madawa kuuzwa ovyo nk hii imeshaanza njmeiona somewhere. Afya zetu zitakuwa rehani. Ni kama hakuna sekta nyingine za kutrain serikali na taasisi binafsi zote ziko huko now. Sioni influx ya trainee kwenye lead productive sectors.
3. Ajira hakuna, kila mtu sasa analima masoko hakuna, mbinu za kujenga uchumi unaokuwa sizioni serious. Kuna ahadi tu za kuendelea kujengewa majengo mengi ya huduma mbalimbali za serikali bila kujenga watu Vya kutosha.
4. Nikirudi kwenye mfumuko Wa bei bei za mafuta, visavis gharama za uzalishaji wa mazao tozo barabarani usumbufu wa wakaguzi mazao, matrafiki, nk nk naishiwa hamu kabisa.
5. Ukiwaangalia viongozi concentration haipo kudeal na 80 % ya walipo watz inadeal na vitu very Petty.....
6. Upigaji umerudi kwa kasi ya ajabu. Sasa hivi kila ofisi ya umma hasa hizi nyeti zisizokwepeka deal zinapigwa balaa
My question is....watoto wetu wataikuta Tanzania ya namna gani sijui.
Jamani eeeh sijui kama hii tabu naipata Mimi tu. Kuna majibu hapa
Its soo frustrating.
Soma vizuri. Labda nikwambie tuu Mimi ni mfanyabiashara wa mahindi na hapo nimekupigia hesabu ya gunia moja kati ya mzigo mzima ambapo kwa Safari moja gari inabeba gunia 280-300Piga hesabu ya bulk transport. Sasa gunia 10 unapeleka wapi? Wanachofanya watu ni wanajikusanya wanasafirisha in bulk kwa kulipia usafiri mmoja uliojaa mahindi tu.
Katakua kasomi kapo field sahiz kwa aunt yake achana nako.!Soma vizuri. Labda nikwambie tuu Mimi ni mfanyabiashara wa mahindi na hapo nimekupigia hesabu ya gunia moja kati ya mzigo mzima ambapo kwa Safari moja gari inabeba gunia 280-300
Hapana, siku hizi maarifa ya jinsi mambo yanaenda yako kila sehemu. Mbinu za uchumi zimekuwa tested na zimeonekana zipi bora zipi hazifai. Hizi zama si za kuendesha mambo kwa kubahatisha.
Mkuu kwa ujumla mkulima wa TZ anashida sana. Mazao bei ya chini, mbolea na pembejeo bei ya kutisha.ndiyo maana vijana wanakimbia vijijini kilimo hakiwalipi wanakuja mjini kuwa wamachinga.
Imefika hatua mjini machinga ni wengi kuliko watembea kwa miguu kwasababu tuna sera mbovu ambazo hazimlindi mkulima.
Mkuu kwa ujumla mkulima wa TZ anashida sana. Mazao bei ya chini, mbolea na pembejeo bei ya kutisha.ndiyo maana vijana wanakimbia vijijini kilimo hakiwalipi wanakuja mjini kuwa wamachinga.
Imefika hatua mjini machinga ni wengi kuliko watembea kwa miguu kwasababu tuna sera mbovu ambazo hazimlindi mkulima.
Umeongea kama unaishi Dallas, mahindi yapo mengi sana sokoni, na kwenye magodani yamehifadhiwa na kila msimu wanavuna mahindi usitengemee mahindi kupanda bei...Mtoa mada haupo serious.
Point namba 2 unakosoa uwepo wa vyuo vya afya vinavyoandaa wataalamu wa afya, ila point namba 3 unakosoa ujenzi wa majengo ya kutolea huduma za kijamii bila kuandaa watu wa kutoa huduma hizo.
Halafu, alikuambia nani kwamba mahindi yana bei nzuri kipindi cha mavuno?
Ukivuna mahindi ni sharti uyahifadhi ghalani kusubiri bei nzuri.
Mahindi huuzwa bei nzuri Kati ya January hadi April. Sasa umekurupuka halafu unakuja kulalamika humu.
Tumia akili!
Mzee unarahishisha mambo sana eeAziuze milioni 6 inatosha kulima ekari moja na nusu ya nyanya ruaha mbuyuni ,anaweza pata hata milioni 30 ambayo ni pesa ya maana
Kwa hio wakulima wasilipe kodi kabisa?.Usimwangalie mmoja angalia jamii nzima, withholding tax kwa mazao sio jambo jema