Nchi iko pagumu sana. Trust me, tunajipa moyo tu

Luna kitu kinakula moyo wangu I finally must vent out.
1. Nimevuna gunia 200 baada ya kulima ekari 20 za mahindi nataka kupeleka sokoni bei ya gunia tshs elfu 30, so nitapata million sita nikiuza yote. Kweeeli jamani this is too much. The leadership is seriously imposing new tax? Mnashindwa kuadress market challenges kwa watu million 45 walioko Shamba? Really????
2. Kuna influx ya vyuo Vya afya now than ever before. Ni mwendo Wa lab technician's, nursing, pharmacy, medical assistance courses etc....nimeproject in 5 years to come tutakuwa na mrundikano Wa wataalamu Wa afya kuliko kawaida watakaokuwa hawaajiliki. Utapeli utaanza, kila chumba kitakuwa hospital bubu, madawa kuuzwa ovyo nk hii imeshaanza njmeiona somewhere.... Afya zetu zitakuwa rehani. Ni kama hakuna sekta nyingine za kutrain serikali na taasisi binafsi zote ziko huko now. Sioni influx ya trainee kwenye lead productive sectors.
3. Ajira hakuna, kila mtu sasa analima masoko hakuna, mbinu za kujenga uchumi unaokuwa sizioni serious. Kuna ahadi tu za kuendelea kujengewa majengo mengi ya huduma mbalimbali za serikali bila kujenga watu Vya kutosha.
4. Nikirudi kwenye mfumuko Wa bei bei za mafuta, visavis gharama za uzalishaji wa mazao tozo barabarani usumbufu wa wakaguzi mazao, matrafiki, nk nk naishiwa hamu kabisa.
5. Ukiwaangalia viongozi concentration haipo kudeal na 80 % ya walipo watz inadeal na vitu very Petty.....
6. Upigaji umerudi kwa kasi ya ajabu. Sasa hv kila ofisi ya umma hasa hizi nyeti zisizokwepeka deal zinapigwa balaa
My question is....watoto wetu wataikuta Tanzania ya namna gani sijui....
Jamani eeeh sijui kama hii tabu naipata Mimi tu. Kuna majibu hapa. Its soo frustrating....
Vipi bado Katiba Mpya haifai kwa sababu haisomi Vyuo vya Afya?
 
Imposing withholding tax kwa mazao kisa kuuza kwa wenye makampuni sijui waliwaza nini, kila nikifikiria hili moyo unaniuma sana, katika mazingira ya pembenei kupandwa na bei za mazao kudorola Leo umwambie mtu akatwe withholding tax si mtaumizana tu, jambo hili linaweza kuchochea bushara zisizo halali za kupeleka nje ya nchi kinyemela,

Tax law experts na economist wetu mlifikiriaje kwa jambo hili, Mzee mwigulu liangalie mara 22, uzuri upo humu kiongozi kiukweli maendeleo tunahitaji lakini hawa wazee wetu vijijini tuwahurumie
Mkuu hili somo hata ukae nao miaka kumi hawaelewagi hawa watu. Sijui wana ubongo gani
 
Kuna kipindi mahindi na mazao mengine bei ilikuwa juu sana.

Magufuli akaongea kwa ukali sana akasema kama unaona bei iko juu na wewe nenda kalime. Akaendelea kwamba wakulima ikiwezekana pandisheni tena bei, ni wakati wa wakulima nao kufaidi matunda ya kazi yao!

Aisee... Baada ya hii kauli chadema na kina Zitto na yale matahira yaliyokimbia nchi yalimtukana magufuli matusi yote unayoyajua.

Hitimisho:
Watz sisi ni watu wa ajabu sana! Hatujui tunataka nini, ndio maana kila siku nasema ukiwa kiongozi tekeleza wajibu wako ili siku zako za uongozi ziishe umuachie mwingine. Kwamba umeleta impact gani hiyo haikuhusu.
Kujaribu kuwapigania watz ni kujichosha bure.
Namshangaa sana hata Mbowe anapata tabu yote kisa nini? Kwa ajili ya hawa wajinga wa tz? Ambao mada yao kuuu ni simba na yanga?
 
kasanga70
Nimeona concern yako kwenye bandiko lako. I myself at your place, could possibly have argued along that same line. However, you would better hope for the better, if not the best. Just try maintaining a very positive outlook so that you ought see several future miraculous possibilities God has in store for you
Rais wa nchi kutwaliwa na Bwana si jambo dogo, ni kubwa muno, na hasa linapokuwa kama first experience kwa nchi husika kama iambavyo limekuwa kwa nchi yetu
Mimi ni muumini wa dini ya kikiristo, naamini sana katika matendo makubwa ya Mungu. Mungu ameridhia kumchukua Rais aliyetupatia mara ya kwanza na akaamua kuweka mwingine yeye mwenyewe. Kumbuka kuwa hajakushirikisha kwenye mchakato wa kumchukua aliyekuwepo, alimchukua tu halafu ndiyo akakushirikisha sasa kumpata huyu aliyepo kwa kutumia kitu kinachoitwa Katiba. Kwa hiyo Mungu bado yuko pamoja na sisi kwa kiwango kikubwa mno na cha ajabu muno. tuendelee kumuombea mama atafanya makubwa. Sasa hivi ni mapema mno, bado tuko kwenye ile after-shock ya kuondokewa na Rais wetu mpendwa
Kwenye ulimwengu wa roho, hii nchi iko hivi, huwa inakuwa several times, twisted na mwovu Ibilisi kuelekea kwenye negative edge na inapokuwa imetokea hivyo, kwa kipindi fulani huwa inaonyesha kukubali kabisa kuelekea kwenye upande huo, halafu tena ALL OF A SUDDEN baada ya hapo, inakuja restore back quickly kuelekea kwenye POSITIVE edge.Believe me! Tanzania iko hivyo kwenye ulimwengu wa roho
 
We hujielewi huku dar wanauziwa unga sembe bei huu. Safirishwa mahindi Dar uuze bei nzuri acha ujinga
Uko hapo kwa shemeji yako unaelewa nini wewe?

Jana nilikuwa nataka nikachukue pumba mashinane kwa ajili ya kuku zangu.

Nsagaji akaniambia pumba hadi baada ya siku 3, kuuliza sababu, akanionesha rundo la viroba vya unga kwamba hadi viishe hivyo hapo na kwa maneno yake anasema watu hawali sana ugali maana mchele nao bei iko chini sana.
 
kasanga70
Nimeona concern yako kwenye bandiko lako. I myself at your place, could possibly have argued along that same line. However, you would better hope for the better, if not the best. Just try maintaining a very positive outlook so that you ought see several future miraculous possibilities God has in store for you
Rais wa nchi kutwaliwa na Bwana si jambo dogo, ni kubwa muno, na hasa linapokuwa kama first experience kwa nchi husika kama iambavyo limekuwa kwa nchi yetu
Mimi ni muumini wa dini ya kikiristo, naamini sana katika matendo makubwa ya Mungu. Mungu ameridhia kumchukua Rais aliyetupatia mara ya kwanza na akaamua kuweka mwingine yeye mwenyewe. Kumbuka kuwa hajakushirikisha kwenye mchakato wa kumchukua aliyekuwepo, alimchukua tu halafu ndiyo akakushirikisha sasa kumpata huyu aliyepo kwa kutumia kitu kinachoitwa Katiba. Kwa hiyo Mungu bado yuko pamoja na sisi kwa kiwango kikubwa mno na cha ajabu muno. tuendelee kumuombea mama atafanya makubwa. Sasa hivi ni mapema mno, bado tuko kwenye ile after-shock ya kuondokewa na Rais wetu mpendwa
Kwenye ulimwengu wa roho, hii nchi iko hivi, huwa inakuwa several times, twisted na mwovu Ibilisi kuelekea kwenye negative edge na inapokuwa imetokea hivyo, kwa kipindi fulani huwa inaonyesha kukubali kabisa kuelekea kwenye upande huo, halafu tena ALL OF A SUDDEN baada ya hapo, inakuja restore back quickly kuelekea kwenye POSITIVE edge.Believe me! Tanzania iko hivyo kwenye ulimwengu wa roho
Got you well...! Big time.
 
Luna kitu kinakula moyo wangu I finally must vent out.
1. Nimevuna gunia 200 baada ya kulima ekari 20 za mahindi nataka kupeleka sokoni bei ya gunia tshs elfu 30, so nitapata million sita nikiuza yote. Kweeeli jamani this is too much. The leadership is seriously imposing new tax? Mnashindwa kuadress market challenges kwa watu million 45 walioko Shamba? Really????
2. Kuna influx ya vyuo Vya afya now than ever before. Ni mwendo Wa lab technician's, nursing, pharmacy, medical assistance courses etc....nimeproject in 5 years to come tutakuwa na mrundikano Wa wataalamu Wa afya kuliko kawaida watakaokuwa hawaajiliki. Utapeli utaanza, kila chumba kitakuwa hospital bubu, madawa kuuzwa ovyo nk hii imeshaanza njmeiona somewhere.... Afya zetu zitakuwa rehani. Ni kama hakuna sekta nyingine za kutrain serikali na taasisi binafsi zote ziko huko now. Sioni influx ya trainee kwenye lead productive sectors.
3. Ajira hakuna, kila mtu sasa analima masoko hakuna, mbinu za kujenga uchumi unaokuwa sizioni serious. Kuna ahadi tu za kuendelea kujengewa majengo mengi ya huduma mbalimbali za serikali bila kujenga watu Vya kutosha.
4. Nikirudi kwenye mfumuko Wa bei bei za mafuta, visavis gharama za uzalishaji wa mazao tozo barabarani usumbufu wa wakaguzi mazao, matrafiki, nk nk naishiwa hamu kabisa.
5. Ukiwaangalia viongozi concentration haipo kudeal na 80 % ya walipo watz inadeal na vitu very Petty.....
6. Upigaji umerudi kwa kasi ya ajabu. Sasa hv kila ofisi ya umma hasa hizi nyeti zisizokwepeka deal zinapigwa balaa
My question is....watoto wetu wataikuta Tanzania ya namna gani sijui....
Jamani eeeh sijui kama hii tabu naipata Mimi tu. Kuna majibu hapa. Its soo frustrating....
Thibitisha upigaji unaosema umerudi kwa kasi,sema hivi una stress za kilimo chako kutofikia malengo..

Toa ushauri sio kulalamika tuu..
 
ndiyo maana vijana wanakimbia vijijini kilimo hakiwalipi wanakuja mjini kuwa wamachinga.

Imefika hatua mjini machinga ni wengi kuliko watembea kwa miguu kwasababu tuna sera mbovu za kumlinda mkulima.
Si mlisema Kikwete alikuwa mpiga dili,enzi zake Uchumi ulikuwa vizuri na kujiajiri kulikuwa raha..

Serikali inajitahidi kurejesha uchumi mahala pake iungeni mkono..

Kilimo ni kama biashara tuu zingine unaenda kwa target sio kwa kukariri.
 
Mkuu hili somo hata ukae nao miaka kumi hawaelewagi hawa watu. Sijui wana ubongo gani
Wao ni wapiga dili hawawezi elewa, yeye hakuna kodi inamsumbua ataelewa vipi, masemina, maposho, dili zimerudi kama zote... wamegundua kwenye haya matozo wanapiga hela zinaptikana za kutosha, dawa imebaki kumnyonya mwananchi wa chini tu.
 
Imposing withholding tax kwa mazao kisa kuuza kwa wenye makampuni sijui waliwaza nini, kila nikifikiria hili moyo unaniuma sana, katika mazingira ya pembenei kupandwa na bei za mazao kudorola Leo umwambie mtu akatwe withholding tax si mtaumizana tu, jambo hili linaweza kuchochea bushara zisizo halali za kupeleka nje ya nchi kinyemela,

Tax law experts na economist wetu mlifikiriaje kwa jambo hili, Mzee mwigulu liangalie mara 22, uzuri upo humu kiongozi kiukweli maendeleo tunahitaji lakini hawa wazee wetu vijijini tuwahurumie
Fafanua hapo kwenye ku impose withholding tax kwenye Mazao mkuu
 
Kuna kipindi mahindi na mazao mengine bei ilikuwa juu sana.

Magufuli akaongea kwa ukali sana akasema kama unaona bei iko juu na wewe nenda kalime. Akaendelea kwamba wakulima ikiwezekana pandisheni tena bei, ni wakati wa wakulima nao kufaidi matunda ya kazi yao!

Aisee... Baada ya hii kauli chadema na kina Zitto na yale matahira yaliyokimbia nchi yalimtukana magufuli matusi yote unayoyajua.

Hitimisho:
Watz sisi ni watu wa ajabu sana! Hatujui tunataka nini, ndio maana kila siku nasema ukiwa kiongozi tekeleza wajibu wako ili siku zako za uongozi ziishe umuachie mwingine. Kwamba umeleta impact gani hiyo haikuhusu.
Kujaribu kuwapigania watz ni kujichosha bure.
Namshangaa sana hata Mbowe anapata tabu yote kisa nini? Kwa ajili ya hawa wajinga wa tz? Ambao mada yao kuuu ni simba na yanga?

Mbowe anajua faida ya siasa inakuja kipindi kwa kipindi. Jaribu kufikiria sera ya kubadilisha gia angani ambayo ilibuniwa na kuasisiwa na cdm. Wamevunja rekodi hamna kitu kama hicho popote duniani.
 
Hapo nimekuelewa mkuu
 
Ushuru barabarani unakera kwelikweli toka mkoa mmoja kwenda mwingine wanachaji yaani inaboa na lisiti wanazotoa za mkono it is too frustrating for sure. Hapo bado sokoni unakuta bei iko chini na wanunuzi hakuna
 
Back
Top Bottom