Nchi iko pagumu sana. Trust me, tunajipa moyo tu

Mwananchi: kilimo ni uti wa mgongo
Serikali: Viwanda kwanza ndo msingi wa maendeleo
kazi na iendelee
 
Kilimo cha mahindi hakijawahi kuwa na tija na faida ya kuaminika kwa mkulima

Huu ni ukweli mchungu bora hata maharage bei zake zipo stable.

Ifike mahali tukubali mahindi na mpunga ni mazao ya kulima ili kupata chakula tu

Mpunga unalima eka ili hiyo eka ikupe walau faida ya laki 8 ni lazima kuanzia kupanda kuvuna kuweka store utamaliza mwaka ndo upate hiyo 800k km faida.

Lakini kuna mazao ya kawaida kabisa yasiyo na stress km bamia tu unaweza kupata pesa nzuri sana kwa mda mfupi sana bila stress

Hivyo hivyo kwa mahindi saivi debe 4000 mahali nilipo tukizungumzia mbolea tunazungumzia 80000-120000 yaani uuze debe 20-30 kupata mfuko mmoja wa mbolea.

Mazao hayo ni ya kulima eka nyingi sana walau upate faida.

Tuache kulima kimazoea.Kuhusu huyu mama mi ndo simuelewi kabisaaaaaaa
 
Luna kitu kinakula moyo wangu I finally must vent out.

1. Nimevuna gunia 200 baada ya kulima ekari 20 za mahindi nataka kupeleka sokoni bei ya gunia tshs elfu 30, so nitapata million sita nikiuza yote. Kweeeli jamani this is too much. The leadership is seriously imposing new tax? Mnashindwa kuadress market challenges kwa watu million 45 walioko Shamba? Really????

2. Kuna influx ya vyuo Vya afya now than ever before. Ni mwendo Wa lab technician's, nursing, pharmacy, medical assistance courses etc. Nimeproject in 5 years to come tutakuwa na mrundikano Wa wataalamu Wa afya kuliko kawaida watakaokuwa hawaajiliki. Utapeli utaanza, kila chumba kitakuwa hospital bubu, madawa kuuzwa ovyo nk hii imeshaanza njmeiona somewhere. Afya zetu zitakuwa rehani. Ni kama hakuna sekta nyingine za kutrain serikali na taasisi binafsi zote ziko huko now. Sioni influx ya trainee kwenye lead productive sectors.

3. Ajira hakuna, kila mtu sasa analima masoko hakuna, mbinu za kujenga uchumi unaokuwa sizioni serious. Kuna ahadi tu za kuendelea kujengewa majengo mengi ya huduma mbalimbali za serikali bila kujenga watu Vya kutosha.

4. Nikirudi kwenye mfumuko Wa bei bei za mafuta, visavis gharama za uzalishaji wa mazao tozo barabarani usumbufu wa wakaguzi mazao, matrafiki, nk nk naishiwa hamu kabisa.

5. Ukiwaangalia viongozi concentration haipo kudeal na 80 % ya walipo watz inadeal na vitu very Petty.....

6. Upigaji umerudi kwa kasi ya ajabu. Sasa hivi kila ofisi ya umma hasa hizi nyeti zisizokwepeka deal zinapigwa balaa
My question is....watoto wetu wataikuta Tanzania ya namna gani sijui.

Jamani eeeh sijui kama hii tabu naipata Mimi tu. Kuna majibu hapa. Its soo frustrating.
Kuna document inaitwa " Silent weapons in a Quiety Wars" yaani tunapigana vita na adui asiyeonekana, humuoni adui yako, lakini tunahisi kabisa kwamba "tunaishi pamoja na tembo chumbani" sasa chumba kimekuwa hakitoshi tunabanana.
Haya mambo yote hayapo kwa bahati mbaya, yamekuwa engineered purposely..mbinu inayotumika ni ya kisoshalist! Mbinu ambayo imebuniwa na taasisi inayoitwa " The Fabians society" hawa ndo waliobuni siasa za Ujamaa na Ukomunisti..anagalia logo yao ukigoogle, kwamba wana i mould dunia wanavyotaka.
Hawa " the Fabians" wenye makao makuu yake Uingereza wamechukua jina la Generali wa kirumi miaka hiyo ambaye aligundua mbinu za kumshinda adui taratiibu bila vita kwa kubadili "policy" yaani kidogo kidogo hadi adui anapokuja kushituka 'it is too late'
Hii ni kazi ya Illuminatti, binadamu tunaitwa tuamke tujikomboe utumwani dhidi ya hawa mashetani wa Ki Illuminatti lakini people wapo tayari kupigana ili kuutetea mfumo kandamizi.
That is why Bob Marley aliimba kuwa Babylon system is a vampire.......
 
No body cares.....yaani ukimuuliza mtu anaejua kilimo. Kulima ekari 20 is not a joke.......gharama tu zilizotumika hadi unapata mazao nimechoka guys,...
Swala la bei ni swala la kiuchumi zaidi kuliko siasa. It is all about demand and supply. Supply imekuwa kubwa kwenyw soko la ndani na hata kwa majirani wanaotuzunguka. Kila nchi inapambana na food security na ndio tunaishia kuzidisha supply kwenye market.
Price ilipokuwa kubwa 2016-2017 ilikuwa ni kwa sababu ya demand na ikavutia watu kulima kwa bidii. Matokeo yake ndio haya. Ni typical economics. Sijui ndio wachumi huita elasticity of demand?
 
Tunachoweza kufanya ni kwa wenye capital kulima mazao ambayo sio kila kaya inaweza kulima. Tulime soya, mbaazi, maharage na ngwara. Na hapo nayo kuna ambazo zitafikia over supply kwenye soko, then tunalima alizeti na mahindi. Let be elastic kwa wenye uwezo.
 
Uko sahihi,tena mbaazi hazina shida,tatizo watu wamekariri mazao yaleyale,ila ngwara ndio zao gani mkuu
 
Kuna document inaitwa " Silent weapons in a Quiety Wars" yaani tunapigana vita na adui asiyeonekana, humuoni adui yako, lakini tunahisi kabisa kwamba "tunaishi pamoja na tembo chumbani" sasa chumba kimekuwa hakitoshi tunabanana.
Haya mambo yote hayapo kwa bahati mbaya, yamekuwa engineered purposely..mbinu inayotumika ni ya kisoshalist! Mbinu ambayo imebuniwa na taasisi inayoitwa " The Fabians society" hawa ndo waliobuni siasa za Ujamaa na Ukomunisti..anagalia logo yao ukigoogle, kwamba wana i mould dunia wanavyotaka.
Hawa " the Fabians" wenye makao makuu yake Uingereza wamechukua jina la Generali wa kirumi miaka hiyo ambaye aligundua mbinu za kumshinda adui taratiibu bila vita kwa kubadili "policy" yaani kidogo kidogo hadi adui anapokuja kushituka 'it is too late'
Hii ni kazi ya Illuminatti, binadamu tunaitwa tuamke tujikomboe utumwani dhidi ya hawa mashetani wa Ki Illuminatti lakini people wapo tayari kupigana ili kuutetea mfumo kandamizi.
That is why Bob Marley aliimba kuwa Babylon system is a vampire.......

Bado watu mnamezeshana haya matango pori? Kweli nyakati hazipiti, mtu ndo anazipita nyakati.
 
Luna kitu kinakula moyo wangu I finally must vent out.

1. Nimevuna gunia 200 baada ya kulima ekari 20 za mahindi nataka kupeleka sokoni bei ya gunia tshs elfu 30, so nitapata million sita nikiuza yote. Kweeeli jamani this is too much. The leadership is seriously imposing new tax? Mnashindwa kuadress market challenges kwa watu million 45 walioko Shamba? Really????

2. Kuna influx ya vyuo Vya afya now than ever before. Ni mwendo Wa lab technician's, nursing, pharmacy, medical assistance courses etc. Nimeproject in 5 years to come tutakuwa na mrundikano Wa wataalamu Wa afya kuliko kawaida watakaokuwa hawaajiliki. Utapeli utaanza, kila chumba kitakuwa hospital bubu, madawa kuuzwa ovyo nk hii imeshaanza njmeiona somewhere. Afya zetu zitakuwa rehani. Ni kama hakuna sekta nyingine za kutrain serikali na taasisi binafsi zote ziko huko now. Sioni influx ya trainee kwenye lead productive sectors.

3. Ajira hakuna, kila mtu sasa analima masoko hakuna, mbinu za kujenga uchumi unaokuwa sizioni serious. Kuna ahadi tu za kuendelea kujengewa majengo mengi ya huduma mbalimbali za serikali bila kujenga watu Vya kutosha.

4. Nikirudi kwenye mfumuko Wa bei bei za mafuta, visavis gharama za uzalishaji wa mazao tozo barabarani usumbufu wa wakaguzi mazao, matrafiki, nk nk naishiwa hamu kabisa.

5. Ukiwaangalia viongozi concentration haipo kudeal na 80 % ya walipo watz inadeal na vitu very Petty.....

6. Upigaji umerudi kwa kasi ya ajabu. Sasa hivi kila ofisi ya umma hasa hizi nyeti zisizokwepeka deal zinapigwa balaa
My question is....watoto wetu wataikuta Tanzania ya namna gani sijui.

Jamani eeeh sijui kama hii tabu naipata Mimi tu. Kuna majibu hapa. Its soo frustrating.
Mkuu hukulima kitaalamu? Ekari 20 gunia 200? Namna hii kweli kilimo ni uti wa mgongo
 
Najaribu tu kujiuliza, kuwa wizara ya kilimo kazi yake ni nini? kwanini wizara isiwasaidie wakulima wake kupata masoko? Nchi tunayosema kuwa watu wake wengi ni wakulima inakuwaje tunakuwa watu wanapewa dhamana hiyo na bado wanashindwa kutengeneza mazingira ya masoko?
 
Kuna mambo bado watu hawajaelewa Tanzania ilivyobadilika ghafla...
I) Sekta ya Fedha
Mwaka 2015 bwana mkubwa alibadili mtazamo wa fedha kwa kubana matumizi lakini kuleta projects kubwa za matumizi bila Bunge kupitisha
Matumizi nje ya bajeti.. Ikaleta kupiga stop ajira mpya..
Ikapiga stop upandishaji wa mishahara...
Hali ikaanza kuwa ngumu sekta binafsi
Bwana mkubwa akasema ndio mwendo wangu.. Akaanza kukopa kwa siri...
Akafanya mageuzi ghafla Air Tanzania wote ni mashuhuda zaidi ya Trillion 2 zilitumika.
Atujakaa sawa.. Ikaja miradi ya Reli ambayo pesa yake ni zaidi ya kipato cha nchi kinacho ingia..
Matumizi ya kulipa miradi mikubwa na hela nyingi kwenda nje ya nchi..
Sasa hali ya fedha ikawa ngumu na mzunguko ukawa shida..
Ikabidi itumike njia ya kimafia kwa wafanyabiashara kukamua sana.. Kesi sana.. Account zao sana nk wengi wanajua..
II) Kudhibiti Mfumuko wa Bei
Baada ya hali hiyo.. Ikabidi wazuie mazao kwenda nje ya nchi ili bei ziwe chini
Mnakumbuka nyanya na baadhi ya mazao yaliozea mashambani bei haikuwa rafiki
Walizuia mahindi kwenda Zambia, Kenya, Uganda, Sudan, Congo.. Nk
Matokeo bei ya mazao kama mahindi yaliporomoka sana..
Sasa mpaka sasa changamoto ya bei haijakaa sawa...
Kuna hofu kuwa mazao yakienda nje.. Ndani bei itakuwa kubwa bila kuangalia mkulima gharama anazotumia.. Lakini ushauri wangeruhusu angalau mazao kiasi yakaenda nje kuna soko
 
Back
Top Bottom