Uchaguzi 2020 Nchi imeamka ikiwa na huzuni kubwa sana, Kwamba wabunge wote Bara 100% wameshinda wa CCM

Uchaguzi 2020 Nchi imeamka ikiwa na huzuni kubwa sana, Kwamba wabunge wote Bara 100% wameshinda wa CCM

Huyu mwandishi ni lini aliwahi kuwa mwana CCM. Eti "hata sisi wana CCM hatujafurahia!"
 
Ndiyo imekwisha hiyo
 

Attachments

  • 20201029_110912.jpg
    20201029_110912.jpg
    357.3 KB · Views: 2
Kama bado mnanguvu nendeni ICC.

Hata huko tutawachapa mlie kama watoto wadogo.
 
Mkuu unapinga wananchi kuamua au ulitakaje? Mimi na pengine hata wewe hatujachagua CHADEMA kutokana na msimamo wao wa kutaka watanzania kuwa mashoga ili tupate msaada toka Marekani na Canada huku viongozi wawe wanatuibia mali zetu na kujilimbikizia, kujinufaisha wao na familia zao. Wacha upinzani ufe tu, hawana jipya.
Huo Ni ukosefu wa akil kichwan ,Kwan wanakulazimisha uwe shoga? Au wapinzan wanawashikisha ukuta kilazimima na kuwaingilia kinyume Cha maumbile?

Ushoga Ni Siri ya mtu mmoja mmoja ,mbona huo ushoga upo tu tokea kipindi Cha nyerere ,usipende kuongea vitu vya kijinga namna hiyo .

Au akil yako imejaa mavi na makamasi, maana sikuelew kabisa ,yaan unataka kutuaminisha kuwa upinzan wakisema tuwe mashoga Basi na ww unakuwa shoga kwel.pumbavu kabisa
 
Lawama zangu nimtupia nyerere kwanini atuwekee katiba ya ovyo Kama hii?
 
Kwa swali lako hili naona bado hujaniwia radhi! Hata hivyo, nimeisha timiza wajibu wangu. Nikirudi mazima sasa kwenye swali lako, ili nikupe majibu sahihi utayoyaelewa utalazimika kwenda kusoma ilani za vyama vyote vilivyoshiriki uchaguzi. Katika usomaji wako angalia ni chama gani kilikuwa na ilani yenye mwelekeo wa Tanzania unayoitaka.

Mkuu, inabidi uende ukazisome kweli, vinginevyo ukirudi hapa tutashindwa kuelewana kile tutakachokuwa tunaulizana.
Suala si ilani bali suala ni utekelezaji wa Ilani. Yapo yaliyokuwamo kwenye ilani iliyopita ya 2015 lakini hayakutekelezwa mpaka sasa!

Aidha, mbali na tatizo la utekelezaji wa ilani ya Chama, pia tatizo lilopo ni huyo mliyempa ridhaa ya utekelezaji wa Ilani ya Chama. Tangu alipopewa ridhaa 2015-2020 yapo mazuri na mabaya kama binadamu. Lakini mabaya yake yamezidi kipimo na ni mengi na unayafahamu sina haja ya kuyaorodhesha kwa sababu balil insaan alaa nafsihi baswiira! Binadamu anajifahamu hakika nafsini mwake yupoje!

Tukija kwenye uchaguzi wa sasa umechafuka kwa ushahidi wa wazi na hauna kificho!

Binafsi ni mtu wa "ilmul haal" nimechanganya elimu ya kisekyula na elimu ya dini. Nimefundishwa kuishi na watu kwa wema, kuipenda jamii na kuipenda nchi. Nimefundishwa kumuokoa anayedhuluma na anayedhulumiwa!

Siwezi kukitetea chama kwa sababu chama hakitonisaidia chochote mbele ya Mungu! Siwezi kumtetea mtu kwa mapenzi yangu binafsi hata kama anafanya uonevu kwa kuwa ni miongoni mwa watu wangu!

Uchaguzi huu imefanyika dhulma ya wazi na uhujumu kwa kuchaguliwa viongozi ambao hawakuwa mahususi kwa wapiga kura. Pia umejeruhi wengi na kuwaua baadhi ya raia, na sikuona makosa yao isipokuwa walikuwa ni wenye kulinda kile walichokipigia kura na hakikuwa na athari hasi yoyote kiutendaji hata kama walikiuka utaratibu.

Dini yangu inaniambia; ikiwa nitafanya dhulma tu hata kama si kwa vitendo hata iwe kwa kusapoti tu basi nami nimechangia hiyo dhulma! Kama waliyopiga kura 50,000 wakadhulumiwa haki yao nikihusika basi natakiwa niwalipe hao wote haki yao. Sasa nikiangalia majeruhi na waliyouliwa sina mema ya kuwalipa wote! Dhulma kwangu ni dhambi kubwa na kuua unapata laana kwa Mungu.

Licha ya hivyo tunaishi kwenye sayari tofauti na tuna dini tofuati. Kwa hayo kwa roho njema tena kwa moyo mkunjufu nimeazimia kutokuchangamana na wewe kwenye mijadala na kukukoti pia kuanzia sasa na hii ni koti ya mwisho kutoka kwangu kuja kwako rasmi!

Mungu atubariki.
 
This is too much. Hata sisi wana-CCM hatujafurahia. Level ya ubunge ngoma ingeachwa fair at least tukawapata wabunge cream kutoka na upinzani. Ambao kwa ukweli wamekuwa na mchango mkubwa sana sana toka 1992. Leo hii tunaingia kwenye bunge ambalo wabunge wote ni CCM 100%kutoka bara. Labda wa ACT kutoka Pemba kuingia bunge wa JMT, ila napo it depends na kama watakubali au itakuwa kama last time.

Kwa hakika ni uzuni. na wananchi tusishangilie hili. Nchi imeingia katika majaribio makubwa sana. kwa wale slow learners mtaanza kuona madhara yake not even far just 2022.

Nidiriki kusema haijawa njia sahihi na sio afya kwa demokrasia. Mapungufu na wizi ulikuwepo wa kiwango cha juu sana sana. Anyway, tumerudi nyuma hatua 30 katika demokrasia aliyotuachia Baba wa Taifa na Mzee Kikwete.

Hata Mwalimu Nyerere alikuwa anarusu fairness na amekuwa na wabunge wa upinzani before Chama kimoja. Mwinyi naye. Mkapa naye na Kikwete naye. Ila hii ya wabunge wote kutoka bara kuwa CCM... Duuuuh!. kweli tunatofautiana fikra
Kipindi katiba inaandaliwa mpya,kuna wazo lilitoka raisi Kikwete aongezewe muda wa kukaa madarakani ili atimize jambo la katiba mpya,wapinzani mligoma walikuja juu sana.sasa wasikie wakae kimya
 
Sasa wewe ulienda Sengerema kusoma mimi huko ndiko nilikozaliwa huwezi nidanganya chochote.

Vijiji vya Sengerema hadi leo hii havina kushoto wala kulia.
Hiyo SGR kufika Morogoro tu bado huko Mwanza unakusikia eeeh?

Daraja la Busisi limeanza kujengwa lini au linajengwa Bukumbi ndio maana hatuoni?
Nimeuliza swali hiyo Pwani ina nini cha kuizidi Iringa jibu swali huwezi kalaze mapupu huko
Hawezi kujibu fact ataishia kumbwela mbwela tu
 
This is too much. Hata sisi wana-CCM hatujafurahia. Level ya ubunge ngoma ingeachwa fair at least tukawapata wabunge cream kutoka na upinzani. Ambao kwa ukweli wamekuwa na mchango mkubwa sana sana toka 1992. Leo hii tunaingia kwenye bunge ambalo wabunge wote ni CCM 100%kutoka bara. Labda wa ACT kutoka Pemba kuingia bunge wa JMT, ila napo it depends na kama watakubali au itakuwa kama last time.

Kwa hakika ni uzuni. na wananchi tusishangilie hili. Nchi imeingia katika majaribio makubwa sana. kwa wale slow learners mtaanza kuona madhara yake not even far just 2022.

Nidiriki kusema haijawa njia sahihi na sio afya kwa demokrasia. Mapungufu na wizi ulikuwepo wa kiwango cha juu sana sana. Anyway, tumerudi nyuma hatua 30 katika demokrasia aliyotuachia Baba wa Taifa na Mzee Kikwete.

Hata Mwalimu Nyerere alikuwa anarusu fairness na amekuwa na wabunge wa upinzani before Chama kimoja. Mwinyi naye. Mkapa naye na Kikwete naye. Ila hii ya wabunge wote kutoka bara kuwa CCM... Duuuuh!. kweli tunatofautiana fikra
Demokrasia maana yake wengi wape. Kwa mfano huko Mbeya Tulia amepata kura mara mbili zaidi ya alizopata Sugu. Hivyo ndivyo wana-Mbeya walivyochagua. Tuende na matakwa yao. Kama kwa majimbo mengine yote matokeo yatakuwa hivyo, kama unavyoashiria, basi na iwe hivyo kwa kuwa wananchi wamechagua hivyo. Haiwezekani eti tuwape Upinzani majimbo mengine kwa kudumisha upinzani tu hata kama wananchi hawakuchagua hivyo.
 
refa karuhusu kiatu cha shingo,kiwiko nk. ila refa angefanya hata magoli yakawa 10 kwa 3 kuliko 10 kwa 0.
 
Tatizo ni kutuzuga sisi waelewa mambo kuwa ni demokrasia ya vyama vingi ilikhali ni demokrasia Chama kimoja kinachoshika hatamu.Ubaishaji wote huu wa nini mnapoteza fedha na muda si mseme safari hii ni sisiemu tu kwisha sio kupanga watu vituoni kisha mjiteuwe wenyewe.
 
pamoja na kua ccm nawaza hii nchi inaenda kuwaje siku za usoni maana kila jambo litaungwa mkono pasipo kujali madhara yake baadae, huenda tukaona upinzani feki bungeni na serikal kutohofia chochote tena
 
Back
Top Bottom