Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kitu kigeni lilishakuwepo kwa miaka zaidi ya 30!
CCM badala ya kuiba kura wamelawiti uchaguzi!Ukilawiti uchaguzi ni umelawiti wananchi.Laana ya kulawiti wananchi ni sawa na laana ya kula nyama ya mtu.Vipi mkuu zile dharau zako kwa Bashiru na Polepole bado unazo?
Huo Ni ukosefu wa akil kichwan ,Kwan wanakulazimisha uwe shoga? Au wapinzan wanawashikisha ukuta kilazimima na kuwaingilia kinyume Cha maumbile?Mkuu unapinga wananchi kuamua au ulitakaje? Mimi na pengine hata wewe hatujachagua CHADEMA kutokana na msimamo wao wa kutaka watanzania kuwa mashoga ili tupate msaada toka Marekani na Canada huku viongozi wawe wanatuibia mali zetu na kujilimbikizia, kujinufaisha wao na familia zao. Wacha upinzani ufe tu, hawana jipya.
Suala si ilani bali suala ni utekelezaji wa Ilani. Yapo yaliyokuwamo kwenye ilani iliyopita ya 2015 lakini hayakutekelezwa mpaka sasa!Kwa swali lako hili naona bado hujaniwia radhi! Hata hivyo, nimeisha timiza wajibu wangu. Nikirudi mazima sasa kwenye swali lako, ili nikupe majibu sahihi utayoyaelewa utalazimika kwenda kusoma ilani za vyama vyote vilivyoshiriki uchaguzi. Katika usomaji wako angalia ni chama gani kilikuwa na ilani yenye mwelekeo wa Tanzania unayoitaka.
Mkuu, inabidi uende ukazisome kweli, vinginevyo ukirudi hapa tutashindwa kuelewana kile tutakachokuwa tunaulizana.
Kipindi katiba inaandaliwa mpya,kuna wazo lilitoka raisi Kikwete aongezewe muda wa kukaa madarakani ili atimize jambo la katiba mpya,wapinzani mligoma walikuja juu sana.sasa wasikie wakae kimyaThis is too much. Hata sisi wana-CCM hatujafurahia. Level ya ubunge ngoma ingeachwa fair at least tukawapata wabunge cream kutoka na upinzani. Ambao kwa ukweli wamekuwa na mchango mkubwa sana sana toka 1992. Leo hii tunaingia kwenye bunge ambalo wabunge wote ni CCM 100%kutoka bara. Labda wa ACT kutoka Pemba kuingia bunge wa JMT, ila napo it depends na kama watakubali au itakuwa kama last time.
Kwa hakika ni uzuni. na wananchi tusishangilie hili. Nchi imeingia katika majaribio makubwa sana. kwa wale slow learners mtaanza kuona madhara yake not even far just 2022.
Nidiriki kusema haijawa njia sahihi na sio afya kwa demokrasia. Mapungufu na wizi ulikuwepo wa kiwango cha juu sana sana. Anyway, tumerudi nyuma hatua 30 katika demokrasia aliyotuachia Baba wa Taifa na Mzee Kikwete.
Hata Mwalimu Nyerere alikuwa anarusu fairness na amekuwa na wabunge wa upinzani before Chama kimoja. Mwinyi naye. Mkapa naye na Kikwete naye. Ila hii ya wabunge wote kutoka bara kuwa CCM... Duuuuh!. kweli tunatofautiana fikra
Hawezi kujibu fact ataishia kumbwela mbwela tuSasa wewe ulienda Sengerema kusoma mimi huko ndiko nilikozaliwa huwezi nidanganya chochote.
Vijiji vya Sengerema hadi leo hii havina kushoto wala kulia.
Hiyo SGR kufika Morogoro tu bado huko Mwanza unakusikia eeeh?
Daraja la Busisi limeanza kujengwa lini au linajengwa Bukumbi ndio maana hatuoni?
Nimeuliza swali hiyo Pwani ina nini cha kuizidi Iringa jibu swali huwezi kalaze mapupu huko
Demokrasia maana yake wengi wape. Kwa mfano huko Mbeya Tulia amepata kura mara mbili zaidi ya alizopata Sugu. Hivyo ndivyo wana-Mbeya walivyochagua. Tuende na matakwa yao. Kama kwa majimbo mengine yote matokeo yatakuwa hivyo, kama unavyoashiria, basi na iwe hivyo kwa kuwa wananchi wamechagua hivyo. Haiwezekani eti tuwape Upinzani majimbo mengine kwa kudumisha upinzani tu hata kama wananchi hawakuchagua hivyo.This is too much. Hata sisi wana-CCM hatujafurahia. Level ya ubunge ngoma ingeachwa fair at least tukawapata wabunge cream kutoka na upinzani. Ambao kwa ukweli wamekuwa na mchango mkubwa sana sana toka 1992. Leo hii tunaingia kwenye bunge ambalo wabunge wote ni CCM 100%kutoka bara. Labda wa ACT kutoka Pemba kuingia bunge wa JMT, ila napo it depends na kama watakubali au itakuwa kama last time.
Kwa hakika ni uzuni. na wananchi tusishangilie hili. Nchi imeingia katika majaribio makubwa sana. kwa wale slow learners mtaanza kuona madhara yake not even far just 2022.
Nidiriki kusema haijawa njia sahihi na sio afya kwa demokrasia. Mapungufu na wizi ulikuwepo wa kiwango cha juu sana sana. Anyway, tumerudi nyuma hatua 30 katika demokrasia aliyotuachia Baba wa Taifa na Mzee Kikwete.
Hata Mwalimu Nyerere alikuwa anarusu fairness na amekuwa na wabunge wa upinzani before Chama kimoja. Mwinyi naye. Mkapa naye na Kikwete naye. Ila hii ya wabunge wote kutoka bara kuwa CCM... Duuuuh!. kweli tunatofautiana fikra
Pole mkuu. Ila umefika mbali sana, usiape hivyo maana hakuna mwenye control na future
Kama Kuna watu nilifikiri wamekufa ni wewe! Kumbe upo!Magufuli oyeeeeeeeeee
sema OYEEEEEEEEEEEEEE
Jiwe anaenda kuwa rais wa maisha
Haitachukua miezi 6 tutaona umuhimu wa upinzani....hata hao wanaoimba na kusifu tutalia nao pamoja