Nchi imeanza kurudi nyuma kwa kasi ya ajabu, bila rushwa TANESCO hawafungi umeme

Ndugu mteja,
Pole sana kwa usumbufu unaopata,
Tunaomba kufuatilia zaidi
Pia tutashukuru kupata taarifa zako pamoja na mawasiliano
 
Walivyokuomba rushwa ulichukua hatua gani? Huko kwenu hakuna viongozi? Peleka ujinga wako huko.
 
Tulieni hela irudishwe mitaani kama walivyodai bavicha
 
Ukiacha Polisi , TANESCO ndio sehemu rushwa ilipo haswa Yani ni nyumbani, katika top 3 za rushwa tanesco wapo na wametapakaa kila Kona nchini, Mimi juzi nimetoka rushwa ya 150,000 Ili nifungiwe umeme niliolipa 27,000/=
Habari ndugu,
Tutaomba kupata ushirikiano wako kwa ajili ya kuchukua hatua zaidi.
Tunaomba kupata taarifa zaidi Inbox
 
Rushwa na mambo mengine ya ovyo yote yalikuwepo hata wakati wa Magufuli.
 
Nchi inatakiwa kuongozwa na mifumo imara isio tegemea utashi wa mtu mmoja. Mazuri aliyo yafanya mwenda zake tanaweza kua historia kwa kua hayakuingizwa kwenye mifumo inayo ongoza nchi
Mifumo imara inategemea watendaji wazalendo ,ni kazi bure kama mifumo inatumikiwa na wahuni ,mifumo haijiendeshi
 
Ndiyo tunashangaa wengine. Badala ya kudai magufuli mpya wanadai katiba mya πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Kupata Control NUMBER Hapa Morogoro Ni Jambo Gumu
Utakwenda Ofisini Tanesco Jibu Nenda Tutakutumia Kwenye Simu

HaaπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜
Nawavutia Muda Tu Niende Tena Mara Ya 5 Hapo Sasa Nitakuwa Na Mheshimiwa Waziri Wa Nishati
Mambo Mengi Shida
 
Of course ni vitu kama hivi ndio vinanifanya daima nimuone jpm katika hawamu yake na katika nyakati alikuwa such a greater leader. Kimsingi uongozi si kupendwa, uongozi ni kuona namna gani mambo yanaweza kuwa yanafanikiwa na jpm aliweza. Ndio maana daily alisena ni bora ukosee ktk maamuzi kuliko kutokufanya maamuzi kabisa. Kwa sahivi bibi yenu amekwama kwa mtego wa demokrasia na watamkoroga hadi wamle ugari
 
Kama umezoea rushwa ni ngumu kuiepuka!!..30 elfu in 7 days nimeonganishiwa umeme makumbusho Dar es salaam! !!...Tuache uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…