Nchi imebadilika sana, watu wanamenya maganda ya iphone mpya za milioni 5 kama karanga

Nchi imebadilika sana, watu wanamenya maganda ya iphone mpya za milioni 5 kama karanga

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Tulikotoka ni wachache sana walikuwa na uwezo wa kununua iphone latest matoleo mapya ya milioni 3 hadi 6

Ilikuwa ni risk kubwa sana kuweka simu hizi dukani kwasababu hakukuwa na soko la uhakika

Hali ya sasa imebadilika, mizigo ipo wa kutosha, watu hawaoni shida kununua iphone 17 mpya kutoka viwandani, MILIONI 5.

Maganda ya box za iphone 17 yanavyomenywa huko madukani utadhani vifungashio vya karanga.
 
Hizi ni bei za Uingereza, kodi tayari inajumuishwa kwenye bei.

GB 256 - $1,199 ( Tshs 3,991,471 )
GB 512 - $1,399 ( Tshs 4,657,271 )
TB 1 - $1,599 ( Tshs 5,323,071 )
TB 2 - $1,999 ( Tshs 6,654,671 )

Bei za Marekani zinaonekana kuvutia kwa kuwa hazina kodi, huko kodi inaongezwa wakati wa ununuzi. ndipo watu huanza kujikuna visogo na kulinganisha na bei za Ulaya.

GB 256 - £1,199 ( Tshs 2,955,535 )
GB 512 - £1,399 ( Tshs 3,448,535 )
TB 1 - £1,599 ( Tshs 3,941,535 )
TB 2 - £1,999 ( Tshs 4,927,535 )


Source ni iphone wenyewe

 
Kuna jamaa yangu hapa ndani ya wiki mmoja tu kapata milioni kumi (10,000,000), kazi yenyewe simple tu wala hutokwi jasho na ni burudani tosha. Chapchapu hiyo hela kanunua matofali ajenge nyumba yake ya pili, simu tayari anayo ya bei ghali
 
Mkuu kama huna hela njoo huku benchi la nyuma. 😂

Watu wanamenya sana maganda

Labda ukiagiza nje kwa milioni 4.8 uingize kimagendo uwakwepe TRA
Pro Max ni dola 1199!

Nikiitaka naenda tu Hapo kwenye duka Apple kuichukua au Kama muda sina wataniletea wenyewe nyumbani au mahala nilipo!

Dola 1199 siyo milioni 5.
 
Pro Max ni dola 1199!

Nikiitaka naenda tu Hapo kwenye duka Apple kuichukua au Kama muda sina wataniletea wenyewe nyumbani au mahala nilipo!

Dola 1199 siyo milioni 5.
Utauziwa toy (UTAPIGWA)

Hizi ni bei za Uingereza (UK)

Iphone 17 pro max kwa exchange rate ya £1 = 3,329

GB 256 - £1,199 ( Tshs 3,991,863)
GB 512 - £1,399 (Tshs 4,657,728)
TB 1 - £1,599 (Tshs 5,323,593)
TB 2 - £1,999 (Tshs 6,655,324)


 
Oh! Kumbe unazungumzia 1TB.
Kibongo bongo asilimia kadhaa GB 256 zinawatosha. Sidhani kama inavuka 3.5M
Utauziwa toy (UTAPIGWA)

Hii ni website ya apple

Iphone 17 pro max ya TB 1 ni £1,599 sawa na MILIONI 5.3


 
Pro Max ni dola 1199!

Nikiitaka naenda tu Hapo kwenye duka Apple kuichukua au Kama muda sina wataniletea wenyewe nyumbani au mahala nilipo!

Dola 1199 siyo milioni 5.
Nyani Ngabu Dola ni 2,700! TRA wakikanyaga lazima wakutoe si chini ya 2M zinafika
 
Back
Top Bottom