Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,270
- 44,403
2TB sio sana ila hizo za 5M nyingi ni 1TB, ambayo ni bei fair ukicompare na msrp.Sawa, ya 2TB ni dola 1,999. Si watu wengi wanaonunua hizo.
Pamoja na kodi, bado hizo hazifiki bei ya zaidi ya milioni 6.