Iphone 17 pro max ni zaidi ya milioni 6 version ya 2TB ikiwa huko Us/UK/EU hapo bado hujaileta huku na kulipa kodi, even base version ni zaidi ya milioni 3 na nusu.Mnalanguliwa sana hizo simu!
iPhone milioni 5???
Nasubili baba😊Ngoja mshahara wa sept utoke😀
okayNasubili baba😊
$1999 ni zaidi ya milioni 6 kwa exchange rate ipi?Iphone 17 pro max ni zaidi ya milioni 6 version ya 2TB ikiwa huko Us/UK/EU hapo bado hujaileta huku na kulipa kodi, even base version ni zaidi ya milioni 3 na nusu.
Duh!Hilo ni soko la Marekani wananufaika na bidhaa yao na kuna siasa zimeingizwa kutuliza kelele
Ukileta hapa Bongo TRA wanakutwanga kodi kubwa tu, labda uingize kwa magendo
Hizi ni bei za Uingereza (UK)
Iphone 17 pro max kwa exchange rate ya £1 = 3,329
GB 256 - £1,199 ( Tshs 3,991,863)
GB 512 - £1,399 (Tshs 4,657,728)
TB 1 - £1,599 (Tshs 5,323,593)
TB 2 - £1,999 (Tshs 6,655,324)
Pre taxed, ikiwa huko, as of now ni Euro 2500 Ulaya, Pound 2000 UK ikiwa na Kodi ya Nchi husika.$1999 ni zaidi ya milioni 6 kwa exchange rate ipi?
Pro Max 2TB ni $1,999.
Hata kama exchange rate ni Tsh. 2,700, bado haifiki milioni 6!
Kumbuka Kwa TZ Simu sina import Duty, VAT, Excise duty na levies zingine + gharama za usafirishaji.Pro Max ni dola 1199!
Nikiitaka naenda tu Hapo kwenye duka Apple kuichukua au Kama muda sina wataniletea wenyewe nyumbani au mahala nilipo!
Dola 1199 siyo milioni 5.
Sawa, ya 2TB ni dola 1,999. Si watu wengi wanaonunua hizo.Pre taxed, ikiwa huko, as of now ni Euro 2500 Ulaya, Pound 2000 UK ikiwa na Kodi ya Nchi husika.
Point yangu ni kuonesha zipo iphone za milioni 5 hata huko kwenu sio tu huku kwetu.
Nchi yetu ukiondoa taxes on import unapunguza tax revenue kwa karibu 50% kwenye basket ya revenue. Maana yake Nchi haiwezi kwenda hata kidogo...Hahaa!
TRA wanakula milioni 2?
No wonder hizo ndo pesa zinazo finance mafisadi!
Huyu kauza figo? 🤣
Ukipiga hesabu hizi utafail,hizo bei za apple but kila nchi bei haiwezi kua sawa sababu ya Kodi,usafiri,siasa NK..
😃😀😀😀Na kuna mwingine hata hiyo ya laki 3 hawezi kupata. Kila mtu ajikune anapofika
Inafika Tanzania toka wapi? Cupertino au?Ukipiga hesabu hizi utafail,hizo bei za apple but kila nchi bei haiwezi kua sawa sababu ya Kodi,usafiri,siasa NK..
Bila kusema watu wanapigwa ushajiuliza iPhone 17 pro max Hadi inafika Tanzania gharama kiasi gani imetumika??