Mkuu kama huna hela njoo huku benchi la nyuma. 😂Mnalanguliwa sana hizo simu!
iPhone milioni 5???
mtu anatembea na kiwanja mfukoniAisee! Simu inauzwa shilingi milioni 5!
Pro Max ni dola 1199!Mkuu kama huna hela njoo huku benchi la nyuma. 😂
Watu wanamenya sana maganda
Labda ukiagiza nje kwa milioni 4.8 uingize kimagendo uwakwepe TRA
Mkuu ukiweka gharama za usafirishaji, kodi, cha juu cha mfanyabiashara, fair price inatakiwa kuwa shilingi ngapi Bongo?Pro Max ni dola 1199!
Nikiitaka naenda tu Hapo kwenye duka Apple kuichukua au Kama muda sina wataniletea wenyewe nyumbani au mahala nilipo!
Dola 1199 siyo milioni 5.
simu flagship ni anasaBinafsi natumia Samsung s10 plain... tena nilinunua used kwa 350k 4 yrs way back.. mpk leo ipo na sina mpango wa kununua nyingine.. na wala sijaiwekea screen protector.. inapiga kazi.
Hizi trends tunawachia Wanawake..
Utauziwa toy (UTAPIGWA)Pro Max ni dola 1199!
Nikiitaka naenda tu Hapo kwenye duka Apple kuichukua au Kama muda sina wataniletea wenyewe nyumbani au mahala nilipo!
Dola 1199 siyo milioni 5.
Utauziwa toy (UTAPIGWA)
Hii ni website ya apple
Iphone 17 pro max ya TB 1 ni £1,599 sawa na MILIONI 5.3
Buy iPhone
Shop the latest iPhone models and accessories. Pay monthly at 0% APR with the flexibility to upgrade to a new iPhone when you want.www.apple.com
Tunaokomaa na simu za laki 3 kwa zaidi ya miaka ipo siku 😂
Usafirishaji kutoka wapi?Mkuu ukiweka gharama za usafirishaji, kodi, cha juu cha mfanyabiashara, fair price inatakiwa kuwa shilingi ngapi Bongo?
Bibi babu mama baba wote ni ma super starnaona mtoto wa kajala kannua 3, yake ya marioo na ya mtoto wake wa mwaka mmoja 🤣🤣🤣 au wanapewa bure jamani
Nyani Ngabu Dola ni 2,700! TRA wakikanyaga lazima wakutoe si chini ya 2M zinafikaPro Max ni dola 1199!
Nikiitaka naenda tu Hapo kwenye duka Apple kuichukua au Kama muda sina wataniletea wenyewe nyumbani au mahala nilipo!
Dola 1199 siyo milioni 5.