Nchi imebadilika sana, watu wanamenya maganda ya iphone mpya za milioni 5 kama karanga

Kutoka app ya Apple.

Pro Max 1TB ni $1,599.

Kwa pounds pia ni 1,599?

 
Bongo wengi wanashikishwa midosho, watu wanapigwa sana hela, juzi tarehe 19 iPhone 17 ndo wanazindua rasmi simu yao masaa kadhaa bongo kuna msanii tayari kashashkishwa kaipost kuringishia kama vile ni achievement
 
Ushamba mzigo sana
 
Kama ni rahisi haitoi jasho fanya nawewe uipate.

Mnadanganywa kitoto sana. Mtu wa JF bado una waza hivi?
Kuna jamaa yangu hapa ndani ya wiki mmoja tu kapata milioni kumi (10,000,000), kazi yenyewe simple tu wala hutokwi jasho na ni burudani tosha. Chapchapu hiyo hela kanunua matofali ajenge nyumba yake ya pili, simu tayari anayo ya bei ghali
 
Kuna jamaa mmoja kanunua simu ya laki tisa kwa pesa za mkopo sasa anadaiwa ameiuza laki 4 na ameuza vitu vya ndani ili alipe mkopo jamani nunua simu kulingana na uwezo wako yaani unanua simu milioni 3 unashi nyumba ya kupanga hii sio poa
 
Oh! Kumbe unazungumzia 1TB.
Kibongo bongo asilimia kadhaa GB 256 zinawatosha. Sidhani kama inavuka 3.5M
Hizi ni bei za Uingereza (UK)

Iphone 17 pro max kwa exchange rate ya £1 = 3,329

GB 256 - £1,199 ( Tshs 3,991,863)
GB 512 - £1,399 (Tshs 4,657,728)
TB 1 - £1,599 (Tshs 5,323,593)
TB 2 - £1,999 (Tshs 6,655,324)
 
Kutoka app ya Apple.

Pro Max 1TB ni $1,599.

Kwa pounds pia ni 1,599?

View attachment 3478428
Bei za Marekani zinaonekana kuvutia kwa kuwa hazina kodi, huko kodi inaongezwa wakati wa ununuzi. ndipo watu huanza kujikuna visogo na kulinganisha na bei za Ulaya.

GB 256 - £1,199 ( Tshs 2,955,535 )
GB 512 - £1,399 ( Tshs 3,448,535 )
TB 1 - £1,599 ( Tshs 3,941,535 )
TB 2 - £1,999 ( Tshs 4,927,535 )
 
Nashukru akili yangu haiongozwi na mihemuko..
,najua low mpk flagship.
Nashukr nimetendea haki 300000 ya Mwaka 2019 niliyonunua samsung.
Japo nakaribia kubadilisha ila sina haraka,tofauti yangu na yao wa kisasa ni type of charger na macho ya camera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…