Nchi imebadilika sana, watu wanamenya maganda ya iphone mpya za milioni 5 kama karanga

Binafsi mzuka huo sina, Kwanza sina matumizi makubwa ya Simu. Nanunua kitu Kwa mahitaji yangu...
 
Iphone 17 pro max ni zaidi ya milioni 6 version ya 2TB ikiwa huko Us/UK/EU hapo bado hujaileta huku na kulipa kodi, even base version ni zaidi ya milioni 3 na nusu.
$1999 ni zaidi ya milioni 6 kwa exchange rate ipi?

Pro Max 2TB ni $1,999.

Hata kama exchange rate ni Tsh. 2,700, bado haifiki milioni 6!
 
Duh!

Basi ndo maana nashangaa.

Marekani vitu si bei ghali kama huko kwingine.

Na kwa kawaida Uingereza vitu huwa ni vya bei ya juu kuliko Marekani!

God bless America πŸ‡ΊπŸ‡Έ!
 
$1999 ni zaidi ya milioni 6 kwa exchange rate ipi?

Pro Max 2TB ni $1,999.

Hata kama exchange rate ni Tsh. 2,700, bado haifiki milioni 6!
Pre taxed, ikiwa huko, as of now ni Euro 2500 Ulaya, Pound 2000 UK ikiwa na Kodi ya Nchi husika.

Point yangu ni kuonesha zipo iphone za milioni 5 hata huko kwenu sio tu huku kwetu.
 
Pre taxed, ikiwa huko, as of now ni Euro 2500 Ulaya, Pound 2000 UK ikiwa na Kodi ya Nchi husika.

Point yangu ni kuonesha zipo iphone za milioni 5 hata huko kwenu sio tu huku kwetu.
Sawa, ya 2TB ni dola 1,999. Si watu wengi wanaonunua hizo.

Pamoja na kodi, bado hizo hazifiki bei ya zaidi ya milioni 6.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…