Nchi imebadilika sana, watu wanamenya maganda ya iphone mpya za milioni 5 kama karanga

Inafika Tanzania toka wapi? Cupertino au?
Jibu hoja usirukeruke,tufanye makadirio rahisi??...

iPhone 17 pro max USD 1199
Kusafirisha na bima USD 80

Jumla USD 1279..*1 USD =2600

JUMLA: TSH 3,325,400..

ongeza Kodi 25%..

Inakua TSH 4,156,700/=

Na dukani dar zinauzwa TSH 4,500,000/=
 
kwani kuna shido?
 
Mkuu kama huna hela njoo huku benchi la nyuma. 😂

Watu wanamenya sana maganda

hata ukiagiza nje bei ni hizo hizo
Sasa hii ina uhusiano gani na kutokuwa na pesa?? Kwamba wasio na time na iphone hawana hela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…